Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Snipes kakaAwali alijiitaje!
Snipes kakaAwali alijiitaje!
Kumbe anafuatiliaga yaani ni memba wa siri huyuInawezekana lengo lake ni kutupima IQ tu
Ila umemfafanulia vizuri
.....
kaka mm mwenyewe ubishi wangu tu sbbu namfata lee wanguWaropokaji mmemfukuza dadangu, so sad
Ni kweli kaka najuaAcha unafiki dadangu, sema ukweli kwani unaujua
Hii kali kuliko
Waafrika yaani tulikuwa na falsafa nzito na iliyoshabihiana na mazingira yetu vizuri. Halafu akina Karl Peters wakaja na kuharibu kila kitu. Sad!
Bitoz amekuwa mzee wa busara sana anatema madini adimu
Walahii ni nzuri kuliko zote ulizowahi kueeka...
Nimetengua kaka ila huwa nataniana nae hivyo tumeshazoeaTengua kauli mwanaume hasemeshwagi hivi dada
hahahha wakina nan kakaUnashida wewe, wanaokupenda huwapendi
soda ipi hiyo kakaSiipendi, inafanana na ile soda ya Tanga
Bwana weeeHa hahahhaha, hili kwa sababu unalijua zaidi na lina urafiki na masikio yako, kuna la Dr Remmy (RIP) nalo utalipenda tu.
Then tunaweza kutoka kwenda huko kina hendrix, Santana, Bonamassa, wale Waluo wa shirati jazz na wengine kibao
Hamna mkuuBitoz amekuwa mzee wa busara sana anatema madini adimu
Anakujaga hapa mara moja moja anatukana halafu anakimbia. Nilishawahi kumuuliza kama ana hoja anayohitaji ijadiliwe kwa kina aseme ili ajionee weledi wa Makapuku. Aliishia kutoa povu tu na kusepa.Inawezekana lengo lake ni kutupima IQ tu
Ila umemfafanulia vizuri
.....
umemaliza kakaRutta ni ngumu sana kuuelewa huu uzi, hukuna mada maalum japo kuna segment kama nukuu, je wajua, leo katika historia na magazeti, kwa kifupi hiki ni kijiwe cha watu kupiga stori tena chenye watu wapya kila wakati, kwa ufupi hapa utani na kutaniana ni kwingi na stori za mapenzi na michezo huwa hazikauki. Likes ndio nguzo muhimu za ushirikiano hapa kapuku au hata nje ya kapuku.
Lingine memba wa humu wengi wanafahamiana nje ya kapuku.
Waafrika yaani tulikuwa na falsafa nzito na iliyoshabihiana na mazingira yetu vizuri. Halafu akina Karl Peters wakaja na kuharibu kila kitu. Sad!
Mlindwa hujui mlinzi anaishije? Makubwa!sasa leo umeingiaje
movie yake ulishawahi angaliaWalahii ni nzuri kuliko zote ulizowahi kueeka...