everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kumbeeeee !!!Funguo umeweka wapi ? Nipe gari weee endelea kufanya Yako.Mkuu umekuja, nilikuhonga gari jana ukakimbia nimwanza kuhangaika upya bhana
Kumbeeeee !!!Funguo umeweka wapi ? Nipe gari weee endelea kufanya Yako.Mkuu umekuja, nilikuhonga gari jana ukakimbia nimwanza kuhangaika upya bhana
Poa mkuu pamoja sana, mimi niko Mo town hapa.Ndio ndio mkuu ..
Nimeona Kila kitu. Acha kumsingizia mke wangu mambo yako ya ajabu. I trust my wife sanaAisee bro afadhali umerudi, shemeji alikuwa ananishawishi tufanye mambo ya ajabu sana.
Mkuu mbona unapenda kudandia mali za watu.Mkuu umekuja, nilikuhonga gari jana ukakimbia nimeanza kuhangaika upya bhana
Usiniambie umepoteza funguo, nilikushauri uache kilevi weweKumbeeeee !!!Funguo umeweka wapi ? Nipe gari weee endelea kufanya Yako.
Yani huyu youngblood hafai, laiti kama wifi lizziebettie isingekuwa na msimamo mbona ingekuwa hatariKwa kupenda wake za watu. Nitakutoa kispora kijana
Nimetimiza andiko salimianeni kwa busu takatifu,nakusalimu hata wewe na Makapuku wote kwa busu takatifuNaomba maelezo plz
,lap uNaomba basi leo nitangaze ndoa rasmi mama.![]()
![]()
![]()
![]()
tumesalimiana kwa busu takatifu usiogope,ila jana hukutangaza nia .... dada Yako Jimena full kukuchunga.
Mmmmh kazi kweli unajua jambilo ni mume wa mtuNimetimiza andiko salimianeni kwa busu takatifu,nakusalimu hata wewe na Makapuku wote kwa busu takatifu,lap u
Alijileta mwenyewe baadae kakimbia. Kumbe mkeo!Mkuu mbona unapenda kudandia mali za watu.
We nae sasa unaharibuuuPamoja sana mkuu, tuko pamoja kama Yanga na mwarabu.

Ndo maana nilimchagua lizziebettieYani huyu youngblood hafai, laiti kama wifi lizziebettie isingekuwa na msimamo mbona ingekuwa hatari
Nimetimiza andiko salimianeni kwa busu takatifu,nakusalimu hata wewe na Makapuku wote kwa busu takatifu,lap u
Jimena nakupenda sanaYani huyu youngblood hafai, laiti kama wifi lizziebettie isingekuwa na msimamo mbona ingekuwa hatari

Vizuri sana,mpe makavu live huyu mchungaji wa nzi.Kumbeeeee !!!Funguo umeweka wapi ? Nipe gari weee endelea kufanya Yako.
Nimeona Kila kitu. Acha kumsingizia mke wangu mambo yako ya ajabu. I trust my wife sana

Kijana heshimu ndoa yangu