Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimeamua kumrudia mke wangu, huu mchepuko hauna maana kabisa.

Nahrene mpenzi njoo basi huku mimi vishawishi vinanizidi,watu wananilingishia na kunicheka huku sweetie.
Uko wapi my sweetheart?,rudi basi mpenzi nami angalau nitabasamu,maana nimelia mpaka macho yamekuwa mekundu kama nyanya.

Njoo basi mpezi.

Cc Nahrene.
Hahahaa....! Yelewiii...
Jimena uko wapi? Njoo umwone youngblood mambo anayofanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom