Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Akikupitia tena naomba muende nae bahari ukazame kabisaPoa bro ni shetani tu alitupitia.
Akikupitia tena naomba muende nae bahari ukazame kabisaPoa bro ni shetani tu alitupitia.
Asante sanakumbe nimegusa maslahi yako? pole mkuu...
Poa mkuu,karibu sana.powa powa, hata Moshi kwa Mtei ni nyumbani pia mkuu ..
Woiiii........kuwa na msimamo basi.Naona unataka kuchafua hali ya hewa.
Au aje kwangu apate raha.Umepotea Dada bora ufanye yako tu
Ana uchungu usimkumbushe, sumbai alikimbia na nahreneNaona unataka kuchafua hali ya hewa.
Huko sihusiki mimiAu aje kwangu apate raha.
Ka nzi???? Hahahahahaha umenichekesha sanaa, basi kabadili id hii unayotumia kutongozea kila ke aliyopo mbele yako nimekukataa nayoJimena sas dharau, ukinikatalia na jf naacha, halafu mpenzi kalekajina usiniite tena eee
Hatarudi tena mkuu,utasubiri sana.Kwani hatokuja KF?
Humu kwema tuZa humu ndani honey
hahahaha....Anaeleta ni mhudumu, mi nimeitwa kama shahidi tu mkuu
Mi si ndo namshangaa sasaMusolin5 anachanganya ugoro kwenye mboga..mambo ya yanga na mwarabu tena!

Za wewe love?Humu kwema tu
Haya maajabu yanapatikana KF pekee .. Mch. anaweka biblia kando na kuamua kupigania penzi ..Jimena sas dharau, ukinikatalia na jf naacha, halafu mpenzi kalekajina usiniite tena eee