Makapuku Forum

Gitaa linapigwa mtu unafeel
 
Officially kuanzia mwaka juzi kama sikosei. Upungufu wa wanawake hapa Makapuku tu unaleta shida imagine nchi yenye watu bilioni 1+. Nasikia ratio ilikuwa inakaribia 1:3. Sasa hapo niambie kama utapata mke kama hauko ngangari!
Siyo wanakaribia billioni 1.3 Bali tayari Wachina wapo 1,388,262,693 kufikia March 2017
Na mwezi buu wameshazaliana tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Napumzika
Tukutane kesho
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…