Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkuu nafurahi kukuonaHakika
Mkuu nafurahi kukuonaHakika
Sasa hivi wameruhusu mpaka watoto wawili. Logic ni kwamba wazazi watataka kuwa na watoto wa jinsia zote mbili. Kwenye one child policy wazazi walikuwa wanaviua vitoto vya kike na kuendelea kujaribu tena na tena mpaka wapate katoto ka kiume. Matokeo yake kuna upungufu mkubwa wa mabinti na vijana wanapata shida wakati wa kuoa. Na wakati huo huo wanataka ku-maintain cultural purity na hawapendi kujichanganya hasa katika ndoa especially wakati huu ambapo ni dola kuu linaloinukia. Ukitaka mtoto wa tatu inabidi uombe vibali maalumu na uonyeshe uwezo wa kumlea bila msaada wo wote kutoka serikalini.Mfano "one child policy" yaani marufuku kuzaa mtoto zaidi ya mmoja hii ilikuwa zamani
sasa hivi nasikia wanelegeza masharti lakini sidhani km wana uburu wa kujiamulia idadi ya watoto
Kiufupi China wamewazidi Wahindi watu Milioni 40 lakini Wahindi wanazaa tu hivyo Wachina wakizubaa watapitwa tu
Kati ya mwaka 2000 hadi 2017 ongezeko la Wahindi ni 34% wakati Wachina ni 9% tu
.......
Baby wa mie nakuomba chumbani tuyajenge mitongozo ya live siiwezi kabisa...Hiyo jam naifutilia mbali kwa jina lako ray wangu...
Nimuda wa kuyajenga mahaba yetu baby
Mondray unafkili chizi anajijua basKwanini shunie?
Mbona najiona mzima
Hata nikitikisa kichwa nasikia kizito kozi ubongo umo..
hahaah ila usijue sio kama ww unavyotaka kunifanyia mbele ya macho yanguLove is sharing ujue
Vale una nn lknBora mana angekuja kwangu usingempata tena
Kaka angu umeshindaje shikamooHabarini family
MamboWazma huku wapendwa?
Muwe na usiku mwema..
Duh kwahiyo sasa hivi wapo kwenye "Two Child Policy'Sasa hivi wameruhusu mpaka watoto wawili. Logic ni kwamba wazazi watataka kuwa na watoto wa jinsia zote mbili. Kwenye one child policy wazazi walikuwa wanaviua vitoto vya kike na kuendelea kujaribu tena na tena mpaka wapate katoto ka kiume. Matokeo yake kuna upungufu mkubwa wa mabinti na vijana wanapata shida wakati wa kuoa. Na wakati huo huo wanataka ku-maintain cultural purity na hawapendi kujichanganya hasa katika ndoa especially wakati huu ambapo ni dola kuu linaloinukia. Ukitaka mtoto wa tatu inabidi uombe vibali maalumu na uonyeshe uwezo wa kumlea bila msaada wo wote kutoka serikalini.
Salama kakake... Hope siku yako imeenda vemaHabarini family


Marahaba, ck yangu imekuwa njema tu.Kaka angu umeshindaje shikamoo
Duuh ila gape la m40 si mchezo...Mfano "one child policy" yaani marufuku kuzaa mtoto zaidi ya mmoja hii ilikuwa zamani
sasa hivi nasikia wanelegeza masharti lakini sidhani km wana uburu wa kujiamulia idadi ya watoto
Kiufupi China wamewazidi Wahindi watu Milioni 40 lakini Wahindi wanazaa tu hivyo Wachina wakizubaa watapitwa tu
Kati ya mwaka 2000 hadi 2017 ongezeko la Wahindi ni 34% wakati Wachina ni 9% tu
.......
Uko sahihi sana.Salama kakake... Hope siku yako imeenda vema
Officially kuanzia mwaka juzi kama sikosei. Upungufu wa wanawake hapa Makapuku tu unaleta shida imagine nchi yenye watu bilioni 1+. Nasikia ratio ilikuwa inakaribia 1:3. Sasa hapo niambie kama utapata mke kama hauko ngangari!Duh kwahiyo sasa hivi wapo kwenye "Two Child Policy'
Kuhusu upungufu wa wanawake nilishawahi kusikia ilileta balaa pia itaweza kusababisha ushoga
........
Uchizi wangu upo vipi?Mondray unafkili chizi anajijua bas
Hapa ndo pazuri bana. Shunie alikua ananringishia mumewe halafuBaby wa mie nakuomba chumbani tuyajenge mitongozo ya live siiwezi kabisa...
Nakupendaaa

haujaelewa anaetaka kufanya mapinduzi n vale ambae Nyani Ngabu ni baby wako nilikua namuelewesha msukumaLee uko wapi? USA Baby anataka kufanya mapinduzi huku...and I am told the revolution will be televised![]()