Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Nashkuru kaka ubarikiwe sanaMarahaba, ck yangu imekuwa njema tu.
Habari yako dada
Nashkuru kaka ubarikiwe sanaMarahaba, ck yangu imekuwa njema tu.
Habari yako dada
Nimemmiss tu mumeo jamaniVale una nn lkn
Makapuku, wikend ndo tunainza hivi kwa kujiburudisha na nyuzi za gitaa kutoka kwa magwiji mbalimbali Afrika. leo tunaye mkongwe mwingine tena.
Salif Keita, huyu utamtambua kwa sauti yake adhimu lakini pia kwa kuwa ni mwanamuzi mwenye albinism. Tatizo la ngozi yake halijamfanya asiwe mahiri katika kile anachokifanya, muziki.
Keita keshafanya ziara zenye mafanikio makubwa sehemu nyingi duniani na album yake ya M'Bemba ilitwaa tuzo kadhaa ikiwemo ya BBC.
Kama walivyo magwiji wengine wa Mali, Salif alifanya 'korabo' na gwiji la kora Toumani Diabate na leo nakuacha nao uburudike
hapana aisee mmiss mondray au Ngabu yule nammiss mm peke anguNimemmiss tu mumeo jamani
Binamu jaman hivi ww sio mwanamuziki kweli
hahahah si hayo unayoongea zaidi ya mahabaUchizi wangu upo vipi?
Ni njema kaka anguUko sahihi sana.
Habari dada
tehHapa ndo pazuri bana. Shunie alikua ananringishia mumewe halafu![]()
AmenNashkuru kaka ubarikiwe sana
AsanteNi njema kaka angu
sawa binamu nilijua nadili na kitimeMimi ni msikiliza muziki tu, gitaa hata kulipiga sijui labda ngoma😀
Nakupenda vale...Hapa ndo pazuri bana. Shunie alikua ananringishia mumewe halafu![]()
Siyo wanakaribia billioni 1.3 Bali tayari Wachina wapo 1,388,262,693 kufikia March 2017Officially kuanzia mwaka juzi kama sikosei. Upungufu wa wanawake hapa Makapuku tu unaleta shida imagine nchi yenye watu bilioni 1+. Nasikia ratio ilikuwa inakaribia 1:3. Sasa hapo niambie kama utapata mke kama hauko ngangari!
Cc shemela shunieMimi ni msikiliza muziki tu, gitaa hata kulipiga sijui labda ngoma😀
Tupo pamoja mkuuMkuu nafurahi kukuona
Nzuri mkuu, vip pande hizoHabarini family
Nampenda sana...hahahah si hayo unayoongea zaidi ya mahaba
Binamu asante sana hivi huyo kuna nyimbo aliimba inaitwa africa