Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Kwamba tumemisianakujua nn tena
Kwamba tumemisianakujua nn tena
Nipo kodokodoumelala mchumba angu??
Mpigie simu dogo hapohahaha
Mi staki ukufwe banatena nikikufwa uje kunizika
Hata hotelini hufanya hivyohawa watu sio wastaarabu kabisa sijui kwa nn watu wa bara la Asia wapo hivyo
mkitembea barabarani wanatema makohozi yaan kila mtu utamsikia anavutia anatema popote pale kwenye bus au super market nyie mnaona kinyaa wenzenu wala
Mwenyewe natamani uwe wa kwelimbona kama mchezo wa kweli huo!
Ushaingiwa na wasi wasi shemelaBinamu jaman hivi ww sio mwanamuziki kweli
Makapuku, wikend ndo tunainza hivi kwa kujiburudisha na nyuzi za gitaa kutoka kwa magwiji mbalimbali Afrika. leo tunaye mkongwe mwingine tena.
Salif Keita, huyu utamtambua kwa sauti yake adhimu lakini pia kwa kuwa ni mwanamuzi mwenye albinism. Tatizo la ngozi yake halijamfanya asiwe mahiri katika kile anachokifanya, muziki.
Keita keshafanya ziara zenye mafanikio makubwa sehemu nyingi duniani na album yake ya M'Bemba ilitwaa tuzo kadhaa ikiwemo ya BBC.
Kama walivyo magwiji wengine wa Mali, Salif alifanya 'korabo' na gwiji la kora Toumani Diabate na leo nakuacha nao uburudike
Poa tu.. Cjui wwnimekumiss, mambo niaje
me pia nimefurahi sana shemela karibu tena mzee wa arsenal yakoShemela wangu upo, nimefurahi sana kukuona shemela
usikodoe sana utaumiza machoNipo kodokodo
unatamaniiii iwe kweliwe tulia mpenzi mtazamaji
hivi Snipes umemuonaNzuri tu mtoto mzuri
shemela bora umerudi nitakua na amani
me mzima mpenzi, habari za siku mingiPoa tu.. Cjui ww
AhsanteeeeeeI love you ray...
Naskia una mahela
naongea na ww apo halaf toka umebadili I'd umekua chizi fresh ujueunaongea na nani??