Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/China
d28a06cfe41d0e531d7b3d7a13db41b2.jpg

Hawa macho madogo wapo takribani Bilioni moja, Milioni mia tatu themanini na nane na laki mbili[1,388,200,000)
Wanasifika kwa uchapakazi na kuzalisha bidhaa feki.ndio Taifa linalotishia uchumi Wa Marekani kutokana na ukuaji wake

Wamepunguza kasi ya kuzaliana hivyo sio ajabu wakipitwa na Wahindi
Mwisho
.........
asante mkuu
 
Makapuku, wikend ndo tunainza hivi kwa kujiburudisha na nyuzi za gitaa kutoka kwa magwiji mbalimbali Afrika. leo tunaye mkongwe mwingine tena.

Salif Keita, huyu utamtambua kwa sauti yake adhimu lakini pia kwa kuwa ni mwanamuzi mwenye albinism. Tatizo la ngozi yake halijamfanya asiwe mahiri katika kile anachokifanya, muziki.
Keita keshafanya ziara zenye mafanikio makubwa sehemu nyingi duniani na album yake ya M'Bemba ilitwaa tuzo kadhaa ikiwemo ya BBC.

Kama walivyo magwiji wengine wa Mali, Salif alifanya 'korabo' na gwiji la kora Toumani Diabate na leo nakuacha nao uburudike

Mkuu obe
 
5/Brazil
8171c7bf7ce2008a8a6a5a7f665e9b45.jpg
Hii nchi kila mtu anajua mpira. Si mnamkumbuka JAJA.....Nchi hii imejaa wana wake warembo na fukwe za kupendeza
Idadi kubwa ya watu ni wacha Mungu(wakatoliki) ndio maana wanetenfeneza kabisa sanamu la Yesu km mnara wao
Wapo 211,200,000[Milioni mia mbili kumi na moja na laki mbili)....
.....
wa Brazil nywele zao tunanunua ghali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom