Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Mexico
fe067d79c6fddd4af70b9a5197f9b707.jpg

Hii nchi ipo huko Amerika ya Kaskazini ni maarufu kwa biashara ya dawa za kule vya, imepakana na Marekani ndio iliyomtisha Trump hadi kutoka kujenga ukuta
Ina idadi ya watu Milioni mia moja thelathini (130,000,000
Mji mkuu ni Mexico City ndo chimbuko la maDon
......
 
10/Mexico
fe067d79c6fddd4af70b9a5197f9b707.jpg

Hii nchi ipo huko Amerika ya Kaskazini ni maarufu kwa biashara ya dawa za kule vya, imepakana na Marekani ndio iliyomtisha Trump hadi kutoka kujenga ukuta
Ina idadi ya watu Milioni mia moja thelathini elfu (130,000,000
Mji mkuu ni Mexico City ndo chimbuko la maDon
......
mkuu ni milioni mia na thelathini elfu au milioni mia na thelathini
100,030,000 au 130,000,000
 
9/Urusi
25a258cfc893f726c6efa5d75fc6fb4d.jpg

Ni taifa lenye nguvu barani Ulaya linaongozwa na Vladimir Putin, ndo Taifa la Ulaya ambalo linamnyima usingizi Mmarekani kutokana na kugombea maslahi mfano huko Syria
Lina watu takribani Milioni mia moja na arobaini na tatu (143,000,000)
Zamani ilijulikana kama Soviet kabla ya kila mtu kubeba chake

Similar Discussions

Back
Top Bottom