Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Yaan wewe ni ....Mimi ni mrengo wa kati
Yaan wewe ni ....Mimi ni mrengo wa kati
Ah wapi kazi inaendelea aiseeh naona dalili za kuanza kucheat hapa soonest tamshika nan mwiz wanguSidhani kama kuna mtu anasemwe huu ni mtazamo huru.....
Shededee kazi yako ya ulinzi ipo mkupotea
Nakutania mkuu, valentina ni wa ray, mimi nalazimisha tu awe wangu, mimi simwezi anataka sadaka zote kah
baba paroko bahili kwel ww
Hahahaha piga kaziHahahahahah sio mnyapio mnyapio mkuu acha tu naandamwa hata na majirani si unajua wa god's servants tunapigwa vita sana
shunii hawezi akatuliza mkuu??
sipo siriaz sanaa
imejipost
yake sio mm
Kweli mkuu bora iingie moja ..washatuchosha ila kibibi kizee kimepewa kibarua hawa Monaco hawavumi ila wamo![]()
Nilitamani timu za Spain isiingie ht moja Final nimezichoka
......
Exactly
mulika mwizi![]()
yake sio mm
mambo safi mkuu!Mambo zenu my family?
Oooooh umenikumbusha movie moja ya kanumba hope ni devils kingdom kuna sentensi alisema huwa sihisahau ...fearing of something means you worship it....sema Siku hizi bongo movies wamekuwa vibaraka wa fisiem
Hawako siliasi
Ewaaaaah ...Mekumiss pia![]()
Ahaaaaaaah alafu anajiita Wa tandale ...Oyaa makapuku mkanunue perfume ya chibu 105000![]()
Kiongozii upoo??Mzee wa kambale niaje
Chapa kaziiiMwajili wangu yuko wapi nataka kusikia hayo maneno akiyatomboka yeye
Mzee mnyapiajiiMambo zenu my family?