Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
hahaha .. hata Gardner hakubali kama ameachwa mkuu!Mkuu tumeachana,tofautisha kati ya kuachwa na kuachana.
Sometimes inabidi tu kuachana.Sikujua hilo![]()
nakuchukia kuachana
Anapenda sana na wadadas sijui ni dalali waoAna kazi kweli kweli
Maamuzi magumuSometimes inabidi tu kuachana.
Kama hakuna unachofaidi unabaki na mtu kusubiri kitu gani cha zaidi.
Hahaha,ukisema nimeachwa haileti picha nzuri mkuu.hahaha .. hata Gardner hakubali kama ameachwa mkuu!
ndi ndi ndi
Mkuu upo?
Na mimi nna ndugu yangu kabisa kwa jina hakunijibu hafu simuoni siku hiziVp mkuu naona tunafanana kuanzia jina la kwanza mpaka ukoo uko pande gani
Alafu kama kawaida nimetupia mimi17k...... Asanteni sana makapuku.....
Raha sanaaaaaa

Ndani ya siku kzaaa tu17k...... Asanteni sana makapuku.....
Raha sanaaaaaa
Hongera sana sanaAlafu kama kawaida nimetupia mimi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu mkuu.Ngoja niingie mtaa huu na mimi nilambe like za kutosha.
Naomba nikuamshe
17k...... Asanteni sana makapuku.....
Raha sanaaaaaa
MaybeAnapenda sana na wadadas sijui ni dalali wao
Huu uzi uliwekwa tarehe 9th April 2016 hata wiki mbili badoNdani ya siku kzaaa tu
Asante,pongezi nyingi ziwaendee makapuku wote popote walipo.Hongera sana sana