EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Karibu sana braza.Umenena mkuu kwanza mii wiki mara moja naonekana sijawai pata ban na sitegemei
Karibu sana braza.Umenena mkuu kwanza mii wiki mara moja naonekana sijawai pata ban na sitegemei
Tatizo ana tamaa mno! Mpaka hana hakika na nani ndio yupo motoni kwake
Asante sanaAsante,pongezi nyingi ziwaendee makapuku wote popote walipo.

Kwani nawee nikama mimiNgoja niingie mtaa huu na mimi nilambe like za kutosha.
Kwani nawee nikama mimi
Karibu mkuu namii nimekaribishwa
Nimekaribia mdogo wanguKaribu sana braza.
Karibu dictator MussolinNgoja niingie mtaa huu na mimi nilambe like za kutosha.
Nani wa kuthibitisha hilo ulisemalo?Mkuu tumeachana,tofautisha kati ya kuachwa na kuachana.
Karibu mkuu.
Karibu dictator Mussolin
..................
Huyu deomrema nahisi namfahamu kabisaNa mimi nna ndugu yangu kabisa kwa jina hakunijibu hafu simuoni siku hizi
Jawana tabu na mtu japo japo wana hasira na wanaojiita wa kongwe wenye kunyanyapaaaAlaa kumbe. Wenyeji ni wakarimu sana
Mimi mwenyewe ndiyo nasema hapa.Nani wa kuthibitisha hilo ulisemalo?
Mwendo mdundo.17k...... Asanteni sana makapuku.....
Raha sanaaaaaa
Hebu tupia basi kapicha hapa makapuku tumuone.Huyu deomrema nahisi namfahamu kabisa
Mtoto wa kiume matikiti makubwa kiasi hiki!![]()
Bora umuache tu
..............

Mkuu bado hujachelewa.asante bitoz, nimechelewa sana kufungua uzi huu...ulikuwa unanihusu sana.