ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Tuko poa mkuuwapendwa mko poa
Mambo vipi.
Tuko poa mkuuwapendwa mko poa
Pamoja sana braza.Asante sana.
Ujanja umebaki mfukoni.Wakongwe wameanza kupoteana.
baridah!Tuko poa mkuu
Mambo vipi.
Tuko poa, mambo vipi?wapendwa mko poa
Mi JF yote wananijua kuwa mi sio muumini wa hizo mamboUnajua jimena naye ni church member wangu, naye ni inzi!
Jimena sizzya akutukana huku.
kama kawa mdauTuko poa, mambo vipi?
Jana pilau, leo pilau huichoki?Lunch timeView attachment 341312[emoji39] [emoji39] [emoji39] haina karibu hii
Kwanini sasa?Naomba Nahrene asijue tafadhali.
Atakuwa anamalizia kiporo.Jana pilau, leo pilau huichoki?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa kweli.Atakuwa anamalizia kiporo.
Ataumia sana mkuu,namuonea huruma.Kwanini sasa?
Anataka kote kote huyu ndugu yakoKwanini sasa?
Kama unamhurumia basi tulia nae usimuumizeAtaumia sana mkuu,namuonea huruma.
[emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa kweli.
Mie simoMama mchungaji njoo uone shemeji zako wanavyohujumu ndoa yako huku
Cc Patience123
Hapana mkuu.Anataka kote kote huyu ndugu yako