Makapuku Forum

Sasa mtag aje aone makosa yake ili ajirekebishe maana hakuna namna sasa
Mtumishi anataka maisha ya juu ambayo hatuwezi ku afford,mpaka sasa tuna madeni na tushaanza kuishi kwa kujificha ficha,nimemuasa tubane matumizi kuendana na kasi ya Rais ya kubana matumizi yeye hataki,anadai eti nimepitwa na wakati,hela ilivokuwa ngumu kwa maisha haya si tutashindwa hata kusomesha jamani...

Baba mtumishi ni janga. Na aoe tu.
 
Tangazo! Tangazo!
KWA MAKAPUKU WOTE​

Kamati ya kuhamasisha ndoa Tanzania (KAKUNDOTA) inamtaarifu kila Kapuku aliye na mke mmoja kufanya haraka iwezekanavyo aongeza mke wa pili,lengo ni kupunguza idadi ya wasichana na wajane waliojaa majumbani na mitaani! Kauli mbiu ya mwaka huu ''Ongeza Mke,Okoa Wanawake,Okoa Jamii ya Kike'' Aidha pia mwanamke aliye tayari kwenye ndoa ambaye atakataa kuongezewa mwenza apewe talaka mara moja ili awe singo aone wenzake wanavyopata adha mtaani! Hii inawahusu pia wale wasio na wake kabisa!
 
Mbona toka nimetangaza kuachana na Nahrene ndoa nyingi sana zinavunjika?Au warembo mlikuwa mnasubirri niwe single ili mnipate kirahisi..!
Kweli nimethibitisha mimi ni asali ya warembo.
 
cc: Jimena,
Th Name,
youngblood
 
Mmmh kwahiyo uko radhi kwa uke wenza??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…