Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mimi dk 2 ...tushakubariiiiana ...Hivi naww ulimpata shunie kiugumu ugumu hivi hivi eti ....
Jokes.![]()
![]()
Mimi dk 2 ...tushakubariiiiana ...Hivi naww ulimpata shunie kiugumu ugumu hivi hivi eti ....
Jokes.![]()
![]()
Vipi jino lakuuma au, mbona MmmmhMmmmh
HahahaMisiiii hizoo mambooo
Mimi dk 2 ...ashanikubariiii
nusu mkosi nusu bahati ila nitapata tu inshallah

Sjakutenga ndugu yanguMie mzima sana but wanitenga sana
SeriousNah.. i mean namaanisha ninachozungumza
Ss ukimwandikia hvyo Mzee Onesmo atakupa mtt kweli jamanNah.. i mean namaanisha ninachozungumza
Yaah skusomaga but jua tu niko serious plzSerious
Hahahah kwann asinipeSs ukimwandikia hvyo Mzee Onesmo atakupa mtt kweli jaman
hawarespond na mkuu sijakusomaMkuu mapanki moderator hawarespond
Clkey Usiishie kushangaa mshirikishe Mungu akuoneshe kama ni fursa uitumie kama ni pepo utoke ndukiMwenyewe nmeshngaa kweli
C unaandika kama doktaHahahah kwann asinipe
Nipe kwanza gunia la mcheleYaah skusomaga but jua tu niko serious plz
nakumiss sanaaaa baba watto wanguWakuu tuwe na Siku njema ...
Shunie cheupe wangu nakumis mama watoto ...

asante mama mchuchu ubarikiwe na wwHESHIMA
1 PETRO 2
17 Waheshimuni watu wote .wapendeni ndugu Mcheni Mungu.Mpeni heshima Mfalme.
Heshima,Utii,Upendo ni tabia ya kimbingu Tumerithi kutoka kwa Yesu Kristo.Alitii hadi mauti ya msalaba .
Bila Upendo ni ngumu kuonesha Heshima na Utii wetu kwa Mungu na ndugu zetu pia
Mtii Mungu kupitia Tabia yako,lugha zako,mavazi yako,,mienendo,mawazo,muda wako,mali yako,jamii inayokuzunguka
Usione aibu kumtangaza Mungu kisa watu watakuonaje,lazima watu waheshimu msimamo wako kwa Mungu wako,Mungu wetu ni mwema anatupenda sanasana na kutupigania
Tuombe:Mwenyezi Mungu Baba wa Mbinguni asante kwa kutufikisha umbali huu na kutuamsha salama,tunaomba ututakase makosa yetu yote,Bariki kazi zetu zote za mikono yetu siku ya leo,tupe kukupenda wewe kwa moyo,nguvu na akili zetu zote .Siku ya leo ifanye iwe baraka tukuone wewe.
Tunawakumbuka wasafiri,wafiwa,wagonjwa,wanafunzi,watoto,wazee , makapuku wote na wenye shida mbalimbali .Asante Baba kwa maana utatenda.Amina
MBARIKIWE

DadaMorning
Magazeti nitayasoma baadae
Ila asante kwa kujali na kuyaweka
hahaahhhaUnapenda nikuite nani?ingawa nimechekaaaa hadi nimeenda kwenye kioo kama alivyotufundisha T