Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Hahahah amna kawaidaC unaandika kama dokta
Hahahah amna kawaidaC unaandika kama dokta
Asante BitozSomo la bure
Km kuna kitu chochote muhimu unakitafuta kwenye thread husika tumia tu search![]()
![]()
![]()
Hata km umekuta post 1000 inakuletea machaguo ya post za mwisho mwisho kupostiwa kuhusu hiyo kitu mfano km ni magazeti basi itakupeleka ya leo leo....
......
Nikupe ww au walezi wako[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]Nipe kwanza gunia la mchele
aisee ila kila mtu na imani yakeMaajabu Duniani, Mchungaji Awashawishi waumini wake kula Nyasi ...
Ili uwe karibu na mungu yakupasa kula Majani kuthibitisha imani yako
![]()
Mwenyewe na mahari nakula mwenyeweNikupe ww au walezi wako[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmhMwenyewe na mahari nakula mwenyewe
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Mimi dk 2 ...tushakubariiiiana ...
Shemejiaisee ila kila mtu na imani yake
KhaaaaHivi naww ulimpata shunie kiugumu ugumu hivi hivi eti ....
Jokes.[emoji23] [emoji23]
huyu hana jina eenhYuko wapii huyuu
Kanidanganya au [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji40] [emoji40] [emoji40]
hahahhahah sakayo chizi ww unanifurahisha sanaHana bando
Mmmmh
Vipi jino lakuuma au, mbona Mmmmh
hivi swahiba n ke ujue nashindwaga muuliza anisamehe tu jamanMwenyewe nmeshngaa kweli
Dada ujue unanitamanisha niniiii lknAsante bae
Mie ndo nala pia nyama choma, karibu hunie
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za kwako nimekupa na wewe
aiseee peleka love connect [emoji23][emoji23]Niko poa
Name:Naitwa shedede
Sex:jinsia yangu yakiume
Occupation:mimi ni mkulima
My take: naitaji mchumba hapa jf
Vision:awe mpenzi wangu mapenzi ya mungu yakitimia awe mke wangu wa ndoa[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Target: kwako wewe clkey
Thanks
Hahahah....aiseee peleka love connect [emoji23][emoji23]
una utani na clkey wwHahahah....
Target umeiona shem [emoji4] [emoji4] [emoji4]
swali gani hiloHahaha...
Vip shem