Nadhani umenielewa vibaya ma dear, si kwamba tusifate yale tunayofundishwa ama tunaona kama yote ni uwongo, la hasha,kwann basi Mwenyezi Mungu alisema asiyefanya kazi na asile?Hakuwa mjinga kuna dada mmoja jirani yetu kabisaaa, alininuliwa cherehani na mume wake den mume akasafiri akijua mama hata pesa ikiisha hii itamsaidia, akawa anaenda kwenye haya makanisa yetu, mhubiri akawaambia ili upande mbegu ya utajiri weka kitu unachokipenda Mungu atakubariki akaenda kachukua ile cherehani akaipeleka, muda ukaenda hana kazi yy na kanisa,mume hajarudi safari,mwisho hali ikawa si hali watoto shule wakafukuzwa ikawa sasa hadi anaomba chakula kwa majirani,mume akapata taarifa kurudi hakuwa na simile alimpa talaka, c vyote tunavyoambiwa lazima tufanye