Kwasasa anaabudiwa kama mungu, radio yake wanamwabudu hadi kichefu chefu.Nimeseme kwa sasa hvi mtani unavyomwelezea ni tofauti na alivyo sasa hivi
Kwasasa anaabudiwa kama mungu, radio yake wanamwabudu hadi kichefu chefu.
Kumshika mkono ni pesa, sijui kuina mkono wa nabii pesa sijui patna pesa cjui nnninini......ni hatari wa wajinga wakulwe, wakulwe, wskulwe
Hakuna namna, wakristo tumepata waaguzi wa kutumia biblia kuwakula watu, watu wajinga wskulwe tu maana hakuna namnawakulwe tu
NdioMnyiramba??
Hahaha haya baana..Hakuna namna, wakristo tumepata waaguzi wa kutumia biblia kuwakula watu, watu wajinga wskulwe tu maana hakuna namna
Asante kiongoziLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Umenena vyema ...inshort kazi na saraHalaf tulivyo wajinga unaambiwa njoo upande mbegu,toa mfano lak moja kuubariki unabii na utaona muujiza wa Mungu, utanunua gari mwaka huu,utajenga nyumba bla blaaa kibao na tunaamini, ila ajabu yake miaka itaenda weee hata kiwanja huna, unajiuliza hivi ni wapi Mungu alisema uombe tu bila kufanya kazi,fanya kazi muombe Mungu atabariki kazi za mikono yako na kukuzidishia
Salaaama tuuuHabarini za asubuhi Waungwana.
AminaaaaHizo mbegu hizo wenzio ndio unawaona na makila kitu kumbe umewapa na ndege wanazo wewe hata kiatu huna...tusome sana biblia na kumuombq Roho mtakatifu atuongoze..James 5:16.. The prayer of righteous man is powerful and effective". Tunapaswa kuomba tunaweza na kufanya kazi kwa bidii hakika tutashinda
Mama parokoSalama muungwana. Umeamshwaje?
Umenikumbusha mbali mkuuUkifuatilia dini/biblia/makanisa/misikiti kwa kutumia Imani utaona mambo tote yanayofundisha ni kweli 100%
Ukifuatilia sasa kwa kutumia akili za kawaida utagundua ni uongo 99%
Mi Nakumbuka kubishana na Katekista Sunday School nikiwa dogo nilikuwa nasema huo ni uongo na kujibu mambo kinyumenyume jinsi ninavyoelewa mimi na kuishia kupigwa makwenzi...sasa rafiki yaje akaniambia ukiwa hapa akili ziache nyumbani lasivyo utafeli mtihani wa kumaliza komunio
....
Duuuuuh
Hapa vipi
....
Kweli kabisaaNadhani umenielewa vibaya ma dear, si kwamba tusifate yale tunayofundishwa ama tunaona kama yote ni uwongo, la hasha,kwann basi Mwenyezi Mungu alisema asiyefanya kazi na asile?Hakuwa mjinga kuna dada mmoja jirani yetu kabisaaa, alininuliwa cherehani na mume wake den mume akasafiri akijua mama hata pesa ikiisha hii itamsaidia, akawa anaenda kwenye haya makanisa yetu, mhubiri akawaambia ili upande mbegu ya utajiri weka kitu unachokipenda Mungu atakubariki akaenda kachukua ile cherehani akaipeleka, muda ukaenda hana kazi yy na kanisa,mume hajarudi safari,mwisho hali ikawa si hali watoto shule wakafukuzwa ikawa sasa hadi anaomba chakula kwa majirani,mume akapata taarifa kurudi hakuwa na simile alimpa talaka, c vyote tunavyoambiwa lazima tufanye
Kweliii kabisa
Anzeni tizi
....
Oooooh I dnt know
CocaCola acheni kutumalizia mbegu zetu
....
Exactly
Wenye hamu ya ndoa
...
Mie mzima sana but wanitenga sanaHahaha haya baana..
Mzima lkn?