Nowadays wameongeza security kama GmailNinayo,zamani nilikua nayo wakahack iliniletea shida kubwa mimi,familia na marafiki
EditionMeno yote hamnq mbonq wanaonekana vijana yameenda wapi?
Neymar kama zombie
Hizo mbegu hizo wenzio ndio unawaona na makila kitu kumbe umewapa na ndege wanazo wewe hata kiatu huna...tusome sana biblia na kumuombq Roho mtakatifu atuongoze..James 5:16.. The prayer of righteous man is powerful and effective". Tunapaswa kuomba tunaweza na kufanya kazi kwa bidii hakika tutashindaHalaf tulivyo wajinga unaambiwa njoo upande mbegu,toa mfano lak moja kuubariki unabii na utaona muujiza wa Mungu, utanunua gari mwaka huu,utajenga nyumba bla blaaa kibao na tunaamini, ila ajabu yake miaka itaenda weee hata kiwanja huna, unajiuliza hivi ni wapi Mungu alisema uombe tu bila kufanya kazi,fanya kazi muombe Mungu atabariki kazi za mikono yako na kukuzidishia

Hiyo kitu huwa inanishangaza kweli... Akili zao sijui huwa zinahamia wapiMaajabu Duniani, Mchungaji Awashawishi waumini wake kula Nyasi ...
Ili uwe karibu na mungu yakupasa kula Majani kuthibitisha imani yako
![]()
Karibu dearAsante my dear
Only 3 teams have stopped Barcelona scoring in both legs of a Champions League KO tie in 21st centuryInatokea mara chache sana katika soka yaani Dakika 180 ( Home and Away ) Barca hawajapata hata goli moja, mwisho umekaribia.
Mzima mkuu ubarikiweWakuu nawasalimu!!!
Habari yako mboga mbogaWakuu nawasalimu!!!
Njema umeamshwaje?Habarini za asubuhi Waungwana.
Nampenda sana Messi
Salama muungwana. Umeamshwaje?Habarini za asubuhi Waungwana.
HakikaHizo mbegu hizo wenzio ndio unawaona na makila kitu kumbe umewapa na ndege wanazo wewe hata kiatu huna...tusome sana biblia na kumuombq Roho mtakatifu atuongoze..James 5:16.. The prayer of righteous man is powerful and effective". Tunapaswa kuomba tunaweza na kufanya kazi kwa bidii hakika tutashinda![]()
Wamevaa majeans kabisa walitangaziwa kesho upako wa majani ili watambae vizuriHiyo kitu huwa inanishangaza kweli... Akili zao sijui huwa zinahamia wapi
ila nahisi kuna nguvu fulani za ziada zinatumikaAmina... Balikiwa na wewe mkuuMzima mkuu ubarikiwe
Mboga niko vzr na furaha ya ushindi wa jana!!Habari yako mboga mboga
Amina, be blessed dear,kiukweli yahitaji macho ya rohoni kuyajua hayaHizo mbegu hizo wenzio ndio unawaona na makila kitu kumbe umewapa na ndege wanazo wewe hata kiatu huna...tusome sana biblia na kumuombq Roho mtakatifu atuongoze..James 5:16.. The prayer of righteous man is powerful and effective". Tunapaswa kuomba tunaweza na kufanya kazi kwa bidii hakika tutashinda![]()