Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
1966 - David Filo anazaliwa.
Mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Yahoo.

1972 - Chombo cha Apollo 16 chatua salama huko Mwezini.
1889 - Adolf Hitler anazaliwa.
Mwanajeshi na mwanasiasa wa zamani wa Ujerumani akiwa na asili ya Austria.
Alikuja kuwa Kansela wa Ujerumani chini ya chama cha NAZI.
1966 - David Filo anazaliwa.
Mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Yahoo.
Sijajua. Ngoja tusikie.![]()
Chato Airport ndege zitaanza kutua lini![]()
...
1976 - Shay Given anazaliwa.
Kipa wa zamani wa Newcastle, Man City na sasa Stoke city.
Shukrani big brotherSomo la bure
Km kuna kitu chochote muhimu unakitafuta kwenye thread husika tumia tu search![]()
![]()
![]()
Hata km umekuta post 1000 inakuletea machaguo ya post za mwisho mwisho kupostiwa kuhusu hiyo kitu mfano km ni magazeti basi itakupeleka ya leo leo....
......
Senki yu tichaaSomo la bure
Km kuna kitu chochote muhimu unakitafuta kwenye thread husika tumia tu search![]()
![]()
![]()
Hata km umekuta post 1000 inakuletea machaguo ya post za mwisho mwisho kupostiwa kuhusu hiyo kitu mfano km ni magazeti basi itakupeleka ya leo leo....
......
Shukrani le dictator Mussolin5Leo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Waafrika dini tumeletewa tu na meli lakini tunajifanya kumjua Mingu kuwazidi Waarabu na WazunguMaajabu Duniani, Mchungaji Awashawishi waumini wake kula Nyasi ...
Ili uwe karibu na mungu yakupasa kula Majani kuthibitisha imani yako
![]()
Asante kwa somoSomo la bure
Km kuna kitu chochote muhimu unakitafuta kwenye thread husika tumia tu search![]()
![]()
![]()
Hata km umekuta post 1000 inakuletea machaguo ya post za mwisho mwisho kupostiwa kuhusu hiyo kitu mfano km ni magazeti basi itakupeleka ya leo leo....
......
HBD Adolf Hitler1889 - Adolf Hitler anazaliwa.
Mwanajeshi na mwanasiasa wa zamani wa Ujerumani akiwa na asili ya Austria.
Alikuja kuwa Kansela wa Ujerumani chini ya chama cha NAZI.
Shukrani big brother
Senki yu tichaa
Pamoja waungwanaAsante kwa somo
HBD David Filo kazi yako ni njema1966 - David Filo anazaliwa.
Mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Yahoo.
HBD Shay Given1976 - Shay Given anazaliwa.
Kipa wa zamani wa Newcastle, Man City na sasa Stoke city.
Nimeipenda NBWaafrika dini tumeletewa tu na meli lakini tunajifanya kumjua Mingu kuwazidi Waarabu na Wazungu
Wazungu wenyewe hawana habari na makanisa wanaona km kupoteza time tu bora kupiga kazi ila sisi haswa Walokole masaa 15 tupo church tunapiga mayowe
NB:
Sijamlenga mtu
Kila mtu na imani yake
.....