Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Vizuri sanaMboga niko vzr na furaha ya ushindi wa jana!!
Vizuri sanaMboga niko vzr na furaha ya ushindi wa jana!!
No one![]()
Prove me wrong
....
Kwangu ni tofauti![]()
Wale wa French kiss
...
Siku njema kwako mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Je tusipofanya zoezi tunapunguza miaka mingapi?![]()
Anzeni tizi
....
Aisee![]()
CocaCola acheni kutumalizia mbegu zetu
....
Mamndenyi mambo!Maajabu Duniani, Mchungaji Awashawishi waumini wake kula Nyasi ...
Ili uwe karibu na mungu yakupasa kula Majani kuthibitisha imani yako
![]()
Duh hii ni kali![]()
Watu na stress zao
....
Wazungu na togwa
Hasa yule kakako wa kuleee na radio yakeHalaf tulivyo wajinga unaambiwa njoo upande mbegu,toa mfano lak moja kuubariki unabii na utaona muujiza wa Mungu, utanunua gari mwaka huu,utajenga nyumba bla blaaa kibao na tunaamini, ila ajabu yake miaka itaenda weee hata kiwanja huna, unajiuliza hivi ni wapi Mungu alisema uombe tu bila kufanya kazi,fanya kazi muombe Mungu atabariki kazi za mikono yako na kukuzidishia
Wala hujakosea mtani, yule kakaang ana taabu kweli kweli, kuulinda unabii 50,000 kumpa mkono nabii laki moja,wanyiramba na wenyewe washakuwa wezi sasaHasa yule kakako wa kuleee na radio yake
Amen![]()
For you
Mnyiramba??Wala hujakosea mtani, yule kakaang ana taabu kweli kweli, kuulinda unabii 50,000 kumpa mkono nabii laki moja,wanyiramba na wenyewe washakuwa wezi sasa
Ni tabia ya mtu.Wala hujakosea mtani, yule kakaang ana taabu kweli kweli, kuulinda unabii 50,000 kumpa mkono nabii laki moja,wanyiramba na wenyewe washakuwa wezi sasa
Kumbe alianzia mbali kazi ya Mungu, sikuwahi kulifahamu hilo,sasa hvi hapana sio kwamba tunamsema ila anajikweza sana kushinda hata MunguNi tabia ya mtu.
Historia yake ya uchaji wa Mungu akiwa kijana kuanzia Kisarawe, Morogoro hadi Arusha ni nzuri sana, but hapa mwishoni imani imekuwa na utata mwingi.
Ukifika wakati mtu anapewa sifa kumzidi Mungu na yeye anazikubali ujue hiyo ni imani potofu.
1. Akina Petro waliponya wagonjwa lkn watu walipowapigia magoti ya shukrani walikataa na kurarua nguo zao ili kumpa Mungu utukufu.
2. Petro alifanya Miujiza hadi akalinganishwa na Mungu alikataa na kurarua mavazi kumpa Mungu utukufu.
Sasa hivi watu wanapata hasara kwa kuyumbishwa na wajanja wachache:
a) mara njoo na fruto cc safina radio
b) mara njoo na chumvi...safina radio ns mitume wengine feki.
Kukosa maarifa na ufahamu sahihi ni janga kuliko majanga yote duniani
Nimefuatilia sana historia yake ile anaita Jodavie classic so exciting na walaa hajifagilii, ameongea kila kitu hata ufukara wake na ukisikiliza unaona hajatia chumvi.Kumbe alianzia mbali kazi ya Mungu, sikuwahi kulifahamu hilo,sasa hvi hapana sio kwamba tunamsema ila anajikweza sana kushinda hata Mungu
Nimeseme kwa sasa hvi mtani unavyomwelezea ni tofauti na alivyo sasa hiviNimefuatilia sana historia yake ile anaita Jodavie classic so exciting na walaa hajifagilii, ameongea kila kitu hata ufukara wake na ukisikiliza unaona hajatia chumvi.
Pia nimepata historia kwa wachungaji wenzake wa enzi ya ujana wake yaan ana background nzuri sana.
Kuna pastor sasa ni askofu wa TAG dr. Barnabas Mtoka mbali yuko morogoro, wamekuwa pamoja ujanani, huyu kakako alikuwa anakila sifa za kuitwa mchaji wa Mungu