Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ukifuatilia dini/biblia/makanisa/misikiti kwa kutumia Imani utaona mambo tote yanayofundisha ni kweli 100%Halaf tulivyo wajinga unaambiwa njoo upande mbegu,toa mfano lak moja kuubariki unabii na utaona muujiza wa Mungu, utanunua gari mwaka huu,utajenga nyumba bla blaaa kibao na tunaamini, ila ajabu yake miaka itaenda weee hata kiwanja huna, unajiuliza hivi ni wapi Mungu alisema uombe tu bila kufanya kazi,fanya kazi muombe Mungu atabariki kazi za mikono yako na kukuzidishia
Ukifuatilia sasa kwa kutumia akili za kawaida utagundua ni uongo 99%
Mi Nakumbuka kubishana na Katekista Sunday School nikiwa dogo nilikuwa nasema huo ni uongo na kujibu mambo kinyumenyume jinsi ninavyoelewa mimi na kuishia kupigwa makwenzi...sasa rafiki yaje akaniambia ukiwa hapa akili ziache nyumbani lasivyo utafeli mtihani wa kumaliza komunio
....