Sasa shida ipo wapi tufanye USA kashinda vita je unafikiri maisha ya wakorea yataboreshwa?Noo Kim mapanki simwamini japo ana mikwara ...ukorofi wa USA haupingiki na CIA inasaidia sana ...
nalala nikutakie usiku mwema utamu wangu mmAmina mkuu
nawe pia ulale salamaNdugu zangu. Nawatakia usiku mwema.
Mbarikiwe sana
Faraja ya moyo wangu!!!Baby...
Ngoja kwanza nimalizie kazi fulani..
Will back in a second..
Love you more..
Tunakulagaaa!!!Sasa mbona hutaki kukubarii kuwa shunie ni shem wakoo
Madenge umeanza ukorofi wako. The little fat kid hana uwezo wa kukinukisha na Marekani unless kama China au/na Urusi waamue kumsaidia. Na hawa wakijiingiza halafu kikanuka kasayari kote haka katakuwa hatarini.Sasa shida ipo wapi tufanye USA kashinda vita je unafikiri maisha ya wakorea yataboreshwa?
Mmarekani mshenzi tu hataki kuona kuna Taifa linatishia ufalme wake iwe kijeshi, kiuchumi n.k
Mi nataka hata kesho kinuke tuone watakachovuna maana wamezoeana kuonea tu watu wanaopingana na misimamo yao
.....
Kipepeo wangu...Faraja ya moyo wangu!!!
Naomba ulale salama mume wangu!!! Mungu akulinde, akuepushe na adui wabaya...
Nakupenda mume wangu T!!!
I love you sakayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooWana familia, mlale salama wooote...
Mungu akijaalia tutakutana tena kesho
Pamoja mkuuWakuu nafikiri nimelisha kitu bongo zenu
Huko kwa Mapanki sio sehemu ya mchezo mchezo
Tukutane kesho
......
Asante mkuu..*QUOTE FOR THE DAY*
"Our greatest weakness lies in giving up. The most certain way to succeed is always to *try just one more time*" -
Thomas A. Edison
HahahaaaLooooooooh nyie ndo mlikuwa mnatamani mshenga asaini talaka
Nimefuta talaka
Kuna mstaafu flan ameiga nukuuu hizi na akaandika uzi6
Bhangi kwao km ugoro tu ruksaaaa
..
NimeonaKuna mstaafu flan ameiga nukuuu hizi na akaandika uzi
Nipo mkuu..Hiv kakang transcend umemficha wap skuelew hujue shem
Nawe pia mkuuNdugu zangu. Nawatakia usiku mwema.
Mbarikiwe sana
Amen mungu akulinde NaweWana familia, mlale salama wooote...
Mungu akijaalia tutakutana tena kesho
Asante mkuu Nawe piaUsiku mwema wadau
Mkuu, hii siyo pahala lake.