Makapuku Forum

Makapuku Forum

Noo Kim mapanki simwamini japo ana mikwara ...ukorofi wa USA haupingiki na CIA inasaidia sana ...
Sasa shida ipo wapi tufanye USA kashinda vita je unafikiri maisha ya wakorea yataboreshwa?
Mmarekani mshenzi tu hataki kuona kuna Taifa linatishia ufalme wake iwe kijeshi, kiuchumi n.k

Mi nataka hata kesho kinuke tuone watakachovuna maana wamezoeana kuonea tu watu wanaopingana na misimamo yao
.....
 
Madenge umeanza ukorofi wako. The little fat kid hana uwezo wa kukinukisha na Marekani unless kama China au/na Urusi waamue kumsaidia. Na hawa wakijiingiza halafu kikanuka kasayari kote haka katakuwa hatarini.

Kuhusu "ushenzi" wa Marekani ndiyo hali halisi ya mfumo wa kidunia na historia ina mifano tele. Mmarekani naye muda wake utapita na litakuja dola jingine kuendeleza ubabe japo wachambuzi wengi wanadhani kuwa silaha za nyuklia ni equalizer na vinafuta dhana ya mshindi na mshindwa.
 
ef4d03b4722e99ebae8bc0f42209886a.jpg
6
Bhangi kwao km ugoro tu ruksaaaa
..
Kuna mstaafu flan ameiga nukuuu hizi na akaandika uzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom