Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niko Bar nimekaa peke yangu mezani wakati meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu

"Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja"
Kwa sauti kubwa kila mtu akasikia,

Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe

siwezi kaa mwenyewe mimi. Kama baridi wacha litutandike wooote shwaiiin

HAPA ROHO MBAYA TU!
Teh teh teh
 
Hahhahaha sijakuona muda sana ulifichwa na nani mkuu, shunie namuona namuona Shilawadu Shilawadu ubuyu ubuyu, sitaki kujua mliishia wapi kwenye safari ile ya kutafuta uokovu, ila sio mbaya naona yupo kwenye mikono salama ryt now
28c173952691bd527d83e083a0b767ab.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom