Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yapo mkuu
Yaani mabasi ya abiria serikali ndo inahusika kuwasafirisha
Mfano juzijuzi wananchi 600000 wamehamishwa kutoka mji mkuu kujiandaa kwa vita

Faida yake ni kwamba nchi haina nsongamano wa magari na uharibifu wa mazingira(air pollution + makelele)
......
basi wako vizuri nikajuwa labda udikteta wa Dogo tu
 
Pia wanaamini dini zimeletwa na meli tu hivyo
*Hakuna kanisa wala msikiti
*Hakuna cha krismass wala maulid

Ninachoeapendea Wakorea ni misimamo na kwamba wanaishi maisha yao waliyojichagulia
......
Kweli kabisa mkuu wale maisha yao wanajua wao tu

Ila sorry mkuu Ile jana mnaongelea mambo ya kijeshi ya N.k nilikuwa rush ...tatizo langu na wasiwasi katika mambo ya jeshi hakuna kitu kibaya kama mwenzako kujua weakness yako

My point...kama ulikuwa makini ile majuzi mambo yao yaliroga hasa pale lile kombora liliposhindwa kuruka kwenye maonesho ....hii ni hatari na kwa taarifa za undani sio mara ya kwanza kugoma ...unalionajee hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom