NUKUU YA LEO
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!
Mchana mwema wakuu.