Makapuku Forum

Makapuku Forum

c66fcbb5413872b6d842659108769c55.jpg

Mmareka+Mkorea kusini V Wakorea Kaskazini

Hata minyama kila mtu anayo

....
Ila hujanipa neno post ya nyuma
 
Ila hujanipa neno post ya nyuma
Nikwambie neno gani mkuu?
Ndio maana nilipiga kimya tu
Propaganda ndo nyingi ila kiuhalisia USA ndo Taifa korofi diniani na huwa linataka kusapotiwa kila linapomchukia mtu linaleta propaganda tu

Hata leoarushe makombora yake na sio kujambajamba tu
Na km shida eti Kim ni dokteta basi waanze kwanza na utawala wa Malkia wa Uingereza
.......
 
Noo Kim mapanki simwamini japo ana mikwara ...ukorofi wa USA haupingiki na CIA inasaidia sana ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom