Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
nimemaanisha wa manchester ndio maana yanguWako na naniii

Asante kwa taarifa mkuuFamilia imekaa na kuamua kuwa azikiwe kule hivyo leo jioni ni mazishi yake. Kesho atakwenda Mama na Kaka kuwakilisha familia.
Nimekutumia ujumbe, fungua baruaH.BD Afrika Bambataa
nimeumiss zaidi ya kuumiss hujui tu ww n mtu wa aina gan kwangu
in dogoz sound hahahhh nitampigia sijui kaongea nn
mbona niliongea nae akaniambia anaenda kwa mama nilimwambia apite hata mara moja akasema hataweza![]()
![]()
![]()
![]()
Umpigie wakat umekula pasaka peke yako
Sawa mkuu..Kusema tu ni habari nyingine na kufutwa nayo ni kazi nyingine.
Hatupangiwi sisi
Haaaa aya komaa na ndoa maana mambo hayaelewki siku hizinipo Antonio ndoa tu imenibana dada ako nipo huku kapuku
Hilo swali akili jibu niite Sisi tuna moyo wa huruma alafu wewe mpira si uliisha jana mbona hukusema na tulikuwa wote humu
Kwanza hujui nani walifunga unaongeaa tu
Nondo imetulia sana hiiSehemu ya 2 ya Bay of pigs Invasion.
Baada ya CIA Chini ya Allen Dulles na ushirikiano wa Kaka yake John Dulles aliyekuwa Secretary of State kwa kipindi hicho wakaja na mpango wa kutengeneza kikosi ambacho kitakuwa kinaongozwa na Wanajeshi wacuba waliokimbia Cuba wakati mapinduzi ya fidel Castro
Lengo la CIA kuwatumia hao rai wa cuba walioko uahamishoni ni :
1. Walikuwa wanalijua jeshi la Cuba vizuri na wengi walikuwa ni infatry Soldiers walikuwa trained kwenye millitary Academy za Cuba.
2.Ni watu ambao tayari walikuwa na kisasi cha kisiasa ya Serikali ya Fidel Castro.
3. Ni rahisi kwa wao kujenga imani na picha wa raia wengine wa Cuba kuwa kumpindua Fidel ni sahihi kwa sababu kuleta demokrasia
4. Waliahidiwa kuongoza serikali ya Cuba kama mapinduzi yakifanikiwa
Baada ya hapo CIA ikawapata hawa wanajeshi wa Cuba ambao wengi walikuwa ni wakufunzi katka academy za jeshi nchini marekani.
1.José Alfredo Pérez San Román
2. Erneido Andres Oliva Gonzalez
Baada ya kuwapa hawa jamaa, wakaaza kutafuta wacuba hasa wanajeshi walikuwa uhamishoni na kuwapeleka nchini Guatemala na Nicaragua kwa ajili ya mafunzo..
CIA wanakaunda kikosi hicho na kukiita Brigade 2506,
Tarehe 4 April 1961 , Rais John F kennedy anatoa approval ya kufanyika kwa misheni ya kumpindua Fidel Castro wakitumia Brigade 2506 .
Tareh 13 April 1961, wajaeshi 1400 wanaounda kikosi cha Brigade 2506, wakiwa wamegawanywa kwenye vikosi 5 wanaondoka kwa boti kwenda Cuba kupitia fukwe za Bay of pigs..
Tar. 15 April 1961 , ndege 8 aina ya B-12 zinashambulia maeneo ya kijeshi ya Cuba na kurudi ktk Ardhi ya marekani..Hii ilifanywa na wamarekani wenyewe kikosi cha Anga.
Usiku wa tar. 16 April kuamkia 17 april 1961, Uvamizi rasmi unafanyika na vita inapigwana kwa siku 3 mfululizo..
Majeshi ya Cuba chini ya José Ramón Fernández wakiwa na wanajeshi 25000 yanapambana na kikosi cha watu 1400 na kuwapiga . John Kennedy akatuma ndege zingine na kusaidia kazi ya kumtoa Castro..
Fidel Castro akadouble wanajeshi kwenye uwanja wa vita.Watu wakala kichapo kitakatifu..
April 20 , kikosi cha Brigade 2506 kikajisalimisha kwa vikosi vya Fidel Castro..
US walitumia zaidi ya 13.1 million UsD
Ilikuwa na aibu kwa CIA ya vyombo vya usalama vya marekani
Mwaka huo huo Allen Dulles anaachia ngazi baada ya kuongoza CIA kwa muda mrefu zaidi.
Muwe na mchana mwema wakuu..
Pamoja kaka...Nondo imetulia sana hii
Shukrani sana kwa nukuu ya na nyongeza ya Bay of Pigs
Ahsante mkuuNyagei pole sana mkuu
Pole sana mkuu

Tuko pamojaAsante kwa taarifa mkuu
Asante sana mkuu .Sehemu ya 2 ya Bay of pigs Invasion.

America kajipanga siku zoteUbabe wa Trump hausaidii chochote, inategemea jeshi lilivyojipanga
Hujaona ujumbe wangu?Asante sana mkuu .
Unagawa shikamoo utafikiri mahindi ya njaaa, alaaa!
Shikamoo na wewe![]()

Nenda pm pliz