Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
baby please niliongea tuUnaendelezaa siyooo ....umeshiba kwanza ??
siongei tena kuhusu chelsea na ww usiniulize bas maswali kuhusu mechi ya jana
baby please niliongea tuUnaendelezaa siyooo ....umeshiba kwanza ??
hii kitu ndio nimejua leo kumbe ni jina la mtu
Great thinkerHaswaa mkuu. Halafu huwa hana ubavu wa kwenda vitani pekee yake bila msaada wa Nato.
Rejea Vita ya Vietnam, Vita ya Ghuba.
Imani yako imekuponya na dogo mwambie mkwara amchimbe king sio mmbaby please niliongea tu
siongei tena kuhusu chelsea na ww usiniulize bas maswali kuhusu mechi ya jana
ila umemmezesha sumu sio za Tanzania aiseeeeh1974 - Victoria Beckham anazaliwa.
Mwanamitindo na muimbaji wa zamani wa kundi la Spice Girls.
Maarufu kama Posh, ni mke wa mwanasoka mashuhuri wa zamani, David Beckham.
Wana watoto wanne.
Ulifikiri churahii kitu ndio nimejua leo kumbe ni jina la mtu
spice girls hili kundi hiv limekufa kabisa
hahahhaha sijaongea nae alikuchimba mkwara hahahhhImani yako imekuponya na dogo mwambie mkwara amchimbe king sio mm
![]()
![]()
ila umemmezesha sumu sio za Tanzania aiseeeeh
Mkuu huyu alimuua Robert F. Kennedy na sio JFK.
hahahha hamna nilikua najua kipindi na jina kutokana na miziki ya AfricaUlifikiri chura
![]()
![]()
![]()
.....
Nondo zimetuliaBay of Pig Invansion
17-19 April 1961.
SEHEMU YA KWANZA.
Kwanza kabisa taifa la Cuba na Marekani walianza uhasama wa kisiasa wakati wa vita ya Spanish-ameican war mwaka 1898.
Cuba ilikuwa ni miliki/koloni la wahispania kwa miaka mingi ktk karne ya 19.
Baada ya hapo Cuba ilikuwa miliki ya marekani hadi Cuba ilipopata huru 20/05/1902 kutoka kwa wamerekani na wakamuweka mcuba-mzaliwa marekani Bw. Tomas Palma kuongoza Cuba kwa mara ya kwanza.
Baada ya hapo Cuba ikaja kupata vijana kama Castro wakaondoa mapandikizi ya wamarekani serikali.
Back to the Topic sasa..
Mwaka 1959 marekani chini ya Dwight D. Eisenhower ilikuwa kwenye Vita baridi ambayo kipindi hiki mirengo ya kisiasa ya kibepari na kikomunist ilionyesha tofauti zao sana..
Sasa Cuba chini ya Castro ilifanikiwa kutaifisha mashamba ya kahawa, mashamba ya miwa na viwanda vya wamarekani nchini cuba ila kubwa zaidi ni kuwa Cuba iliweza kujenga ushirika mkubwa na nchi za umoja wa kisovieti ambazo ndio zilikuwa vitani na marekani
kwa hiyo marekani alitaka ampindue Castro manake anakuwa threat sasa..
CIA chini ya mkurugenzi wa wakati huo Bw. Allen Dulles wakaja na mpango wa kumpindua Fidel castro na serikali yake...
Inaendelea sehemu ya 2..
Sehemu ya 2 ya Bay of pigs Invasion.Haswaa mkuu. Halafu huwa hana ubavu wa kwenda vitani pekee yake bila msaada wa Nato.
Rejea Vita ya Vietnam, Vita ya Ghuba.
Pamoja mkuuNondo zimetulia
.....
Njema mkuu kwa sasa niko hapa mbeya jijiNiko poa rafiki, habari za Ileje
Wana kazi sana kudeal na mzee wa kiduku..![]()
Ndo propaganda nilizoongelea![]()
Marekani kamwe huwa hawezi kushinda vita mahali penye wananchi wazalendo na wanaojitambua
Hata kwa mapanki propaganda haziwezi kutumika kwahiyo USA hana chake
....
Usiendekeze ubishi fuatilia mtiririko wa mada
Silaha kubwa ya USA ni propaganda kupitia CIA...Nyie mnaoamini anashindaga vita kwa hayo masilaha yake makubwamakubwa mnajidanganya hamjui mambo ya nyuma ya pazia
Naishia hapa
.......
Ya 2 Tayari mkuu...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
KAPUKU forever ...waiting 2

OKHahahaha eti mambo ya nyuma ya pazia!!!!!! Watanzania bana hamuish vituko
We kula ugali wako na dagaa ulale
Pamoja mkuu
Wewee cheka atakuponzahahahhaha sijaongea nae alikuchimba mkwara hahahhh