Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Haya endelea kumfia, mapenzi ni ya wawili, nisikuone home tena eti umepigwa ubaki hukohukohahahhah kaka sio wa huko wala hana element za huko
Haya endelea kumfia, mapenzi ni ya wawili, nisikuone home tena eti umepigwa ubaki hukohukohahahhah kaka sio wa huko wala hana element za huko
Mungu wako ndo Mungu wangu..Mungu anajua hali niliyokua nayo
Wa kukupga kofi moja ukarudisha 12nina ubabe gan mm jamaan [emoji134]
sirudi kaka ni kweli mapenzi n ya wawili yataisha tu Mungu atanisaidia [emoji120] kila kitu kina changamoto yakeHaya endelea kumfia, mapenzi ni ya wawili, nisikuone home tena eti umepigwa ubaki hukohuko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli unamjali kweli dadakoKama unamtaka dadangu, ulete cv yako ktk idara ya wapendao tuikague ucje kiwa mbabe kama mtalaka lee.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawasirudi kaka ni kweli mapenzi n ya wawili yataisha tu Mungu atanisaidia [emoji120] kila kitu kina changamoto yake
baby si ulisema yameisha mpk nikawa na ww upande wa chelsea jamaanMungu wako ndo Mungu wangu..
Mimi nilipata maumivu mara uncountable ukilinganisha na yako
Wa kukupga kofi moja ukarudisha 12
Ahsante mkuuMungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha akutake mwenyewe, kwa asili ya mahusiano ya kibongo ukijipendekeza sana kwa me atakutesa sana.
Najua unampenda japo hathamini moyo wako. Lee anaweza kuwa wa chato hawajui thamani ya mke na mpenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amen katibu mkuuPole sana kiongozi ...Mungu ampumzishe mahala pema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kaka mm namtaka lee tu niliyemzoea
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante shemPole mnoo mlinzi wangu
Mungu awape wepesi katika kipindi hiki kigumu....
kwahiyo yanakufurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chato kwa mzee Baba mwenye roli lakeacha tu anitese kaka nimemzoea sana
wa chat ndio watu gan kaka
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mungu akutangulie katika kila jambo ,mkono wa Mungu uwe juu yenu katika kipindi chote hiki kwa wasafiri na shughuli zote za kumpumzisha mpendwa wetu,Mungu awatie nguvu[emoji120]
serious nimekuzoea na uchizi wako wote na ukivuruge wako wotee nimekuzoea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwelii wewe pasua kichwapogba wetu
sasa ww n wa chatoChato kwa mzee Baba mwenye roli lake
hapana baby ni pogba wa manchester huyo wa pembeni ndio kanteKwelii wewe pasua kichwa