Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
kaka unakumbuka kazi uliyopata ya kunibembeleza ata chakula kilikua hakipitiWala hakutaka talaka, alideka kidogo akitaraji umbembeleze, nawe ukajifanya mgumuuu. Mapenzi ni utoto, nikudekezana ili kumwin mwenzio lakini ukajifanya Evander na Tyson. Pole yako japo hujachelewa kwani mtalaka hatongozwi ni kubeba tu
Cc shunie
Shunie
