Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sehemu ya 2 ya Bay of pigs Invasion.

Baada ya CIA Chini ya Allen Dulles na ushirikiano wa Kaka yake John Dulles aliyekuwa Secretary of State kwa kipindi hicho wakaja na mpango wa kutengeneza kikosi ambacho kitakuwa kinaongozwa na Wanajeshi wacuba waliokimbia Cuba wakati mapinduzi ya fidel Castro

Lengo la CIA kuwatumia hao rai wa cuba walioko uahamishoni ni :

1. Walikuwa wanalijua jeshi la Cuba vizuri na wengi walikuwa ni infatry Soldiers walikuwa trained kwenye millitary Academy za Cuba.

2.Ni watu ambao tayari walikuwa na kisasi cha kisiasa ya Serikali ya Fidel Castro.

3. Ni rahisi kwa wao kujenga imani na picha wa raia wengine wa Cuba kuwa kumpindua Fidel ni sahihi kwa sababu kuleta demokrasia

4. Waliahidiwa kuongoza serikali ya Cuba kama mapinduzi yakifanikiwa

Baada ya hapo CIA ikawapata hawa wanajeshi wa Cuba ambao wengi walikuwa ni wakufunzi katka academy za jeshi nchini marekani.

1.José Alfredo Pérez San Román
2. Erneido Andres Oliva Gonzalez

Baada ya kuwapa hawa jamaa, wakaaza kutafuta wacuba hasa wanajeshi walikuwa uhamishoni na kuwapeleka nchini Guatemala na Nicaragua kwa ajili ya mafunzo..

CIA wanakaunda kikosi hicho na kukiita Brigade 2506,

Tarehe 4 April 1961 , Rais John F kennedy anatoa approval ya kufanyika kwa misheni ya kumpindua Fidel Castro wakitumia Brigade 2506 .

Tareh 13 April 1961, wajaeshi 1400 wanaounda kikosi cha Brigade 2506, wakiwa wamegawanywa kwenye vikosi 5 wanaondoka kwa boti kwenda Cuba kupitia fukwe za Bay of pigs..

Tar. 15 April 1961 , ndege 8 aina ya B-12 zinashambulia maeneo ya kijeshi ya Cuba na kurudi ktk Ardhi ya marekani..Hii ilifanywa na wamarekani wenyewe kikosi cha Anga.

Usiku wa tar. 16 April kuamkia 17 april 1961, Uvamizi rasmi unafanyika na vita inapigwana kwa siku 3 mfululizo..

Majeshi ya Cuba chini ya José Ramón Fernández wakiwa na wanajeshi 25000 yanapambana na kikosi cha watu 1400 na kuwapiga . John Kennedy akatuma ndege zingine na kusaidia kazi ya kumtoa Castro..

Fidel Castro akadouble wanajeshi kwenye uwanja wa vita.Watu wakala kichapo kitakatifu..

April 20 , kikosi cha Brigade 2506 kikajisalimisha kwa vikosi vya Fidel Castro..

US walitumia zaidi ya 13.1 million UsD

Ilikuwa na aibu kwa CIA ya vyombo vya usalama vya marekani

Mwaka huo huo Allen Dulles anaachia ngazi baada ya kuongoza CIA kwa muda mrefu zaidi.


Muwe na mchana mwema wakuu..
Mkuu heshima kwako ...sakayo kapata dude aiseeeh
 
Bwanabwaaaanaaa inauma ila ntafanyaje ashataka divorce yake
Wala hakutaka talaka, alideka kidogo akitaraji umbembeleze, nawe ukajifanya mgumuuu. Mapenzi ni utoto, nikudekezana ili kumwin mwenzio lakini ukajifanya Evander na Tyson. Pole yako japo hujachelewa kwani mtalaka hatongozwi ni kubeba tu
Cc shunie
Shunie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom