Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pole sana kiongozi mwekahazina nyagei na familia kiujumla bila kusahau kapuku msiba wako msiba wetu ...Pole sana

Wanakapuku najua sisi ni wamoja na tunaishi kwa upendo na amani mnaonaje "maneno kiukweli yanafariji " ila tungeonesha kitu cha tofauti

Mfano Mimi natamani angalau mwekahazina wetu jamvini apate ata chochote ata maji akiwa njiani ...sorry lakini ni mawazo yangu na ubaya nilipo siwezi fanya ila naweza mpa mtu maelekezo mtu akafanya nachohisi kufanya ...ila utaratibu ukiwekwa itakuwa powa

Msininukuu vibaya wapendwa ...Pole sana kishet wake mondray
Familia imekaa na kuamua kuwa azikiwe kule hivyo leo jioni ni mazishi yake. Kesho atakwenda Mama na Kaka kuwakilisha familia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom