Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hahahhah hatutaki mazoea kabisa hii team jamaanMichezo...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahhah hatutaki mazoea kabisa hii team jamaanMichezo...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
umeona eenhMwakyembe asituzingue, anataka kujisafisha kiaina
Ebhuu muache jamaniiisio mm ni lee na sakayo
Sawa mkuu hapa mbeya kaniambia ni wilaya ya kyelaSawa mkuu,pia sifahamu mazishi yatafanyika wapi,kwa Mbeya nafahamu kuwa wapo watu wanaweza sogea hapo Kyela,itapendeza sana kushiriki.
hivi yanga wamepoteajeAsante Lee kwa magazeti..
Habari ni utekaji tuuu!!!!!
Kwenye michezo wala sisemi


Asante na wewe kuyapitiaa
michezo yanga wamekosa usafiriii![]()
![]()
![]()
Shunie mpendwa Mkuu Nyagei amepata msiba jana,dada yake amefariki tupo hapa tunajipanga.polemmh huyu mwakyembe jamaan nan akutishie ww
hahahhahaIla yanga bwanaa ...ebu tuyaache
AiseeMi nimeamka salama mkuu japo kuna taarifa nimezipta usiku kuwa kwaya ya kijito nyama ya dar imevamiwa hotelini ilipo kuwa imefikia
Ameen mama mchuchu ubarikiwe na ww piaMungu wa mbinguni tunakushukuru kwa kutustahilisha kuiona siku ya leo tukiwa wazima na wenye nguvu,asante kwa ajili ya neema hii,tunajikabidhi mikononi mwako,mbariki kila mmoja mahali hapa sawasawa na hitaji la moyo wake,tufundishe njia zako Bwana,tuongoze katika yote tunayoenda kufanya siku ya leo yawe kwa ajili ya sifa na utukufu wa jina lako takatifu, katika jina kuu takatifu lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo naomba na kushukuru Amen![]()
Hata wewe una-quote magazeti mengi hivi!!!hahahhah hatutaki mazoea kabisa hii team jamaan

Ndo hivyo mkuuAisee
Ndo umejitoaa ufahamu ukaquotehahahhah hatutaki mazoea kabisa hii team jamaan
hahaha hili povu la moyoniMwakani mtaenda Simba, naamini mtarudi na kombe...
Ujue nifuata magazeti tuuu, Ngoja nikapike chai....
marinda tena teh tehAkwendwee huko, awaambie wamteke naona anatamani kutolewa marinda
tulikumiss jamaan hawajakuteka tenaNUKUU YA LEO
I have always fought for concrete facts, for justice
Mara zote nimekuwa nikipigania ukweli na haki
![]()
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanamapinduzi, mwanasheria na Rais wa 17 wa Jamhuri ya Cuba Bw. Fidel Alejandro Castro Ruz alizaliwa 13/08/1926 na kufariki dunia nchini Cuba 25/11/2016 akiwa na miaka 90. Na kuzikwa katika makaburi ya Santa ifigenia santiago de cuba.
Fidel atakumbukwa kwa kuwa mwanamapinduzi na muumini wa siasa za kijamaa. Fidel Castro alipigwa sana na mataifa ya kipebari ikiwemo marekani na washirika wake wa magharibi.
Fidel castro atakumbukwa kwa kuepuka majaribiao ya kumuuwa zaidi ya 600 yaliyopangwa na vyombo vya usalama vya marekani.
Leo ni tarehe ambayo ulinanza uvamizi wa Bay of pigs Invasion na ukadumu kwa siku 3. Ilikuwa vita ya kumpindua fidel castro iliyoratibiwa na CIA kipindi cha rais Dwight D. Eisenhower na kutekelezwa mwaka 1961 chini ya Rais John F. Kennedy
Marekani walitumia zaidi ya Us dollar 13.1 million kuaanda uvamizi huo ulifanyika kwa siku 3 na mwisho majeshi ya Cuba yakashinda.
Nirudi kwenye Nukuu.
Fidel castro alikuwa na msimamo, alitekeleza kile anachokiamini ni sahihi kwa watu wa Cuba . Misingi aliyoweka hai zamani ndio siri ya mafanikio ya nchi ya Cuba leo hii..
Leo Cuba wanatoa Elimu nzuri na huduma nzuri za afya zaidi ya nchi zingine za marekani ya kusini. Wana vyombo vya usalama vizuri . Hayo ndio matunda ya ukweli na haki aliyopigania Fidel Alejandro Castro Ruz.
![]()
![]()
Descanse en paz Fidel Castro
hahahhhahahKufungwaa Mimi ila uzurii nilijua mapema nikala mapemaa