Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuAhsante mkuu
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuAhsante mkuu
SalamaMabro & Masista shughuli zinaendaje...
Ila kumbuka spurs bado ana vigogo na wewe bado unaee au utamwachia ili uendelee kuingilia ratiba ya futuhi
Morning too hunieMorning my world..
I real missed you my love..

Pole sana kiongozi ...Mungu ampumzishe mahala pemaSiku ya jana ilianza vizuri sana ila ilikwisha vibaya mno, baada ya kufurahia siku ya Chaplin na my lovely son + ushindi wa United, wakati namquote Madame S kuhusu Pongezi nilipokea simu toka kwa Mama na kunipatia taarifa ya msiba Dada yangu amefariki huko Mbeya so ndugu zangu nitakuwa nanyi kwa vipindi tu humu ili kushughulikia pumziko la dada.
How have you been?Morning too hunie
Missed you more love![]()
Pole mnoo mlinzi wanguAhsante mkuu
Mungu akutangulie katika kila jambo ,mkono wa Mungu uwe juu yenu katika kipindi chote hiki kwa wasafiri na shughuli zote za kumpumzisha mpendwa wetu,Mungu awatie nguvuAmen mama mchungaji

Mmarekani mpuuzi sana, vita vyote anavyopigana anapigana nje ya ardhi yake.....so uharibifu unakuwa hau-involve raia wake na ardhi yake ila tu askari wake!!!Sidhani kama us atamshambulia Kim-jung
China, na south korea wanasapoti us katika propaganda na mwisho wataitishi usuluhishi..manake sidhani kama japan na china wata wawe bullet proof ya marekani..
Manake sasa vita itapiganwa korea kask. Korea kusini na china..ndizo nchi ziliozopakana na korea kask.
Ngoja tuona kama Trump atajaribu kutupa kombora hata moja..
Mechi za jumatatu arsenal hana bahatRatiba ya mechi za leo
Belgium playoffs
![]()
England EPL
![]()
Kenya premier League
![]()
Spain LaLiga
![]()
Not that good, you know how it is without youHow have you been?
Duuuuu kwa ule uchizi wa konte inatakiwa anyimwe ubingwa tuone km atavua nguo

Mmarekani mpuuzi sana, vita vyote anavyopigana anapigana nje ya ardhi yake.....so uharibifu unakuwa hau-involve raia wake na ardhi yake ila tu askari wake!!!
Dogo kiduku anavurumisha kitu mpaka us tena atomic!!!
Sidhani kama watamshambulia japo jana nimesikia tetesi kuwa Trump kasema zishambuliwe nuclear sites za N. Korea
Mmarekani mpuuzi sana, vita vyote anavyopigana anapigana nje ya ardhi yake.....so uharibifu unakuwa hau-involve raia wake na ardhi yake ila tu askari wake!!!
Dogo kiduku anavurumisha kitu mpaka us tena atomic!!!
Sidhani kama watamshambulia japo jana nimesikia tetesi kuwa Trump kasema zishambuliwe nuclear sites za N. Korea
Mkorea atashambulia Us kama Us atafanya attack..lakini Us ana jeuri ya Anti-missile system.Mmarekani mpuuzi sana, vita vyote anavyopigana anapigana nje ya ardhi yake.....so uharibifu unakuwa hau-involve raia wake na ardhi yake ila tu askari wake!!!
Dogo kiduku anavurumisha kitu mpaka us tena atomic!!!
Sidhani kama watamshambulia japo jana nimesikia tetesi kuwa Trump kasema zishambuliwe nuclear sites za N. Korea
Am back mama...Not that good, you know how it is without you
Mkuu wazo zuri na hii itonyesha msikamano zaidi nadhani kama makapuku tufanye utaratibu kama kuna njia ya kuwakilisha chochotePole sana kiongozi mwekahazina nyagei na familia kiujumla bila kusahau kapuku msiba wako msiba wetu ...Pole sana
Wanakapuku najua sisi ni wamoja na tunaishi kwa upendo na amani mnaonaje "maneno kiukweli yanafariji " ila tungeonesha kitu cha tofauti
Mfano Mimi natamani angalau mwekahazina wetu jamvini apate ata chochote ata maji akiwa njiani ...sorry lakini ni mawazo yangu na ubaya nilipo siwezi fanya ila naweza mpa mtu maelekezo mtu akafanya nachohisi kufanya ...ila utaratibu ukiwekwa itakuwa powa
Msininukuu vibaya wapendwa ...Pole sana kishet wake mondray