Makapuku Forum

Makapuku Forum

Poa mkuu asante kwa ushauri wako

Umeongea vyema mkuu

Mkuu kama kuna namna ya kufanya tujulishane ili tujue cha kufanya

Hakika mkuu,inaumiza tumuombee sana mwenzetu,na waliokaribu basi wapate hata muda washiriki.sina uhakika kama ameshaondoka Dar es salaam.wacha tusubiri tufahamu taratibu ili kwa wanaoweza wasogee kumuona.wakati michango inaendelea.
Nafikiri kimeeleweka
.......
 
Watu hawajui kwamba silaha mkubwa ya Mmarekani kushinda ni PROPAGANDA KUPITIA CIA
Ndio kilichowamaliza Gaddafi na Saddam ambaye mwanzo aliwapiga kwenye vita ya Ghuba kwa aibu ndo wakaamua kulipa kisasi kwa kupandikiza kwanza propaganda za chuki na maasi ndani ya jeshi ht kwa Gaddafi ivoivo tu

Mmarekani kawahi kuchezea kichapo Vietnam ambao wanatumia kofia za mikeka tu

Kwa mapanki propaganda haziwezi kufanya kazi ht 3%

......
Yetu macho na maskio, wenye nguvu wapimane ubavu
 
Watu hawajui kwamba silaha mkubwa ya Mmarekani kushinda ni PROPAGANDA KUPITIA CIA
Ndio kilichowamaliza Gaddafi na Saddam ambaye mwanzo aliwapiga kwenye vita ya Ghuba kwa aibu ndo wakaamua kulipa kisasi kwa kupandikiza kwanza propaganda za chuki na maasi ndani ya jeshi ht kwa Gaddafi ivoivo tu

Mmarekani kawahi kuchezea kichapo Vietnam ambao wanatumia kofia za mikeka tu

Kwa mapanki propaganda haziwezi kufanya kazi ht 3%

......
Bwanamapanki wamuachee tuu ...watabwatabwata mdomoni ila kamwe hawezi kugusa N.K
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom