Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
mukongo mutu ya pakee mingiiiiiHabari za asubuhi wanafamilia?.....natumaini Mungu kawaamsha salama salmini na mlisherehekea Pasaka salama.....nawatakia siku njema![]()
mukongo mutu ya pakee mingiiiiiHabari za asubuhi wanafamilia?.....natumaini Mungu kawaamsha salama salmini na mlisherehekea Pasaka salama.....nawatakia siku njema![]()
aisee pole sana sana Nyagei Mungu akutie nguvu kwa kwa kumpoteza dada eb tuwekee no tukutumie chochoteSiku ya jana ilianza vizuri sana ila ilikwisha vibaya mno, baada ya kufurahia siku ya Chaplin na my lovely son + ushindi wa United, wakati namquote Madame S kuhusu Pongezi nilipokea simu toka kwa Mama na kunipatia taarifa ya msiba Dada yangu amefariki huko Mbeya so ndugu zangu nitakuwa nanyi kwa vipindi tu humu ili kushughulikia pumziko la dada.
hahahhh n bashite nn
Bado Us yupo Top kwa N. Korea..Na itakuwa tamu kama Korea atakuwa na kitu chake advanced kumpita us kikapiga hapo Calfornia
Hivi hizo AMS zikitungua eg. Atomic missile kunakuwa hamna madhara?
hahahhahah lee njo uone
Kiongozi uko poaa??Hello family
Ila unamuoneagaaahahahhh n bashite nn
aisee pole sana sana Nyagei Mungu akutie nguvu kwa kwa kumpoteza dada eb tuwekee no tukutumie chochote

Unamtekaje Fidel Castro..?tulikumiss jamaan hawajakuteka tena
Watu hawajui kwamba silaha mkubwa ya Mmarekani kushinda ni PROPAGANDA KUPITIA CIANa kama us pekee ndiye mwenye hiyo technology basi amchokoze N. Korea tuone!!!.....us mpuuzi sana!!!
Us alipiga Iraq na Libya 7bu wao walikuwa wananunua silaha now anaenda kupigana na anaetengeneza silaha mwenyewe!!!
Niko njema sana leeeKiongozi uko poaa??
Habari kwa upande wakoKiongozi uko poaa??
Na wewe pia mkuu...Leo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie Pasaka njema.
mbona shikamoo yangu haujaitikia hahahha halaf ulisema janaAsante ila uzuri nilikula mapema kabla ya mechi kama nilijuaa
Uko poa mkuu!Unamtekaje Fidel Castro..?
Hujambo shunie..
Wapi dadangu?Unamtekaje Fidel Castro..?
Hujambo shunie..