kaka unakumbuka kazi uliyopata ya kunibembeleza ata chakula kilikua hakipitiWala hakutaka talaka, alideka kidogo akitaraji umbembeleze, nawe ukajifanya mgumuuu. Mapenzi ni utoto, nikudekezana ili kumwin mwenzio lakini ukajifanya Evander na Tyson. Pole yako japo hujachelewa kwani mtalaka hatongozwi ni kubeba tu
Cc shunie
Shunie
Kusema tu ni habari nyingine na kufutwa nayo ni kazi nyingine.Ya 2 Tayari mkuu...
Afu nisikie kuna kidudu mtu anasema Thread yetu ifutwe sasa...
Antonio mambo yakoKapuku shunie
Huyu mmeo hana huruma kabisa, hana sense of humor kabisa, angalau hada angekudanganya roho yako itulie jmnkaka unakumbuka kazi uliyopata ya kunibembeleza ata chakula kilikua hakipiti
Bado hayajaishayameishaishaaa bhanaaaah
Wala hakutaka talaka, alideka kidogo akitaraji umbembeleze, nawe ukajifanya mgumuuu. Mapenzi ni utoto, nikudekezana ili kumwin mwenzio lakini ukajifanya Evander na Tyson. Pole yako japo hujachelewa kwani mtalaka hatongozwi ni kubeba tu
Cc shunie
Shunie
Pole sana Homie ....Mungu ailaze roho ya marehem mahala pemaSiku ya jana ilianza vizuri sana ila ilikwisha vibaya mno, baada ya kufurahia siku ya Chaplin na my lovely son + ushindi wa United, wakati namquote Madame S kuhusu Pongezi nilipokea simu toka kwa Mama na kunipatia taarifa ya msiba Dada yangu amefariki huko Mbeya so ndugu zangu nitakuwa nanyi kwa vipindi tu humu ili kushughulikia pumziko la dada.
Yes I do remember my sisykaka unajua hali niliyokua nayo
Pole jikazebaby i'm sorry
Unataka ninisitaki mm
Ungemdanganya tu, hawa viumbe wananenepa na kuridhika na uongo wetu, usiwe mbabe bhana shem
Mimi nilimdekeza na ya mwezi akadai ya mwaka
Yako poa kabisa na vp za pasaka mremboAntonio mambo yako
Uko vizuri make wakukubembeleza wengikaka unakumbuka kazi uliyopata ya kunibembeleza ata chakula kilikua hakipiti
Mwenyewe mbabe ...Ungemdanganya tu, hawa viumbe wananenepa na kuridhika na uongo wetu, usiwe mbabe bhana shem
Trump mwendawazimu AF n MbogoSidhani kama us atamshambulia Kim-jung
China, na south korea wanasapoti us katika propaganda na mwisho wataitishi usuluhishi..manake sidhani kama japan na china wata wawe bullet proof ya marekani..
Manake sasa vita itapiganwa korea kask. Korea kusini na china..ndizo nchi ziliozopakana na korea kask.
Ngoja tuona kama Trump atajaribu kutupa kombora hata moja..
acha tu kakaHuyu mmeo hana huruma kabisa, hana sense of humor kabisa, angalau hada angekudanganya roho yako itulie jmn
ilikua utani tu
Mimi nilimdekeza na ya mwezi akadai ya mwaka