Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu mbeya sehemu ganHapana ni watu wa Mara
Yeye ndiye alikuwa anaishi kule
Mkuu mbeya sehemu ganHapana ni watu wa Mara
Yeye ndiye alikuwa anaishi kule
Duh!!! Amekula chumvi gunia 9!!!UF...
![]()
Maneno mengi ni propaganda tu zinachoshaDuuh, afu North korea juzi ameshindwa kufanya test ya ICBM
Kuna wadau wanasema yalikuwa fake lakini pia wako wanaohisi kitengo cha Cyber-war cha marekani kimeingilia mfumo wa majaribio wa missiles za nchi hiyo ya Korea kaskazini.
Ahsante mkuuPole sana mkuu
Nawe piwaTuwe na Siku njema wakuu
Ahsante kaka mkuuOK
Safari njema
Mungu akupe nguvu umalize msiba salama
....
KyelaMkuu mbeya sehemu gan
Pole na msiba mkuu NyageiSiku ya jana ilianza vizuri sana ila ilikwisha vibaya mno, baada ya kufurahia siku ya Chaplin na my lovely son + ushindi wa United, wakati namquote Madame S kuhusu Pongezi nilipokea simu toka kwa Mama na kunipatia taarifa ya msiba Dada yangu amefariki huko Mbeya so ndugu zangu nitakuwa nanyi kwa vipindi tu humu ili kushughulikia pumziko la dada.
Pole Sanasana mkuu Nyagei,Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina lake libarikiwe,Mungu akupe uvumilivu wa kimapendo akupe moyo wa subira huku ukimuangalia Mungu tu,pole mama na familia yote kwa kumpoteza mpendwa dada...Raha ya milele umpe ee Bwana,na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani dada mpendwa..pole Nyagei,nimeumia sanaSiku ya jana ilianza vizuri sana ila ilikwisha vibaya mno, baada ya kufurahia siku ya Chaplin na my lovely son + ushindi wa United, wakati namquote Madame S kuhusu Pongezi nilipokea simu toka kwa Mama na kunipatia taarifa ya msiba Dada yangu amefariki huko Mbeya so ndugu zangu nitakuwa nanyi kwa vipindi tu humu ili kushughulikia pumziko la dada.

Tatizo nini pimbi..Ahsante kaka mkuu
Amen mama mchungajiPole Sanasana mkuu Nyagei,Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina lake libarikiwe,Mungu akupe uvumilivu wa kimapendo akupe moyo wa subira huku ukimuangalia Mungu tu,pole mama na familia yote kwa kumpoteza mpendwa dada...Raha ya milele umpe ee Bwana,na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani dada mpendwa..pole Nyagei,nimeumia sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pole MkuuKyela
Kama kawaida mkuuMabro & Masista shughuli zinaendaje...
Sidhani kama us atamshambulia Kim-jungManeno mengi ni propaganda tu zinachosha
Waanze kupigana sasa
.....
AmenPole Sanasana mkuu Nyagei,Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina lake libarikiwe,Mungu akupe uvumilivu wa kimapendo akupe moyo wa subira huku ukimuangalia Mungu tu,pole mama na familia yote kwa kumpoteza mpendwa dada...Raha ya milele umpe ee Bwana,na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani dada mpendwa..pole Nyagei,nimeumia sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dada amefarikiTatizo nini pimbi..