Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Haya magazeti yetu yanaporopo gandaWaziri nae tena yupo hatarini?
Asante mkuuAmen
Ahsante mkuu kwa magazeti na UF
AmenMungu wa mbinguni tunakushukuru kwa kutustahilisha kuiona siku ya leo tukiwa wazima na wenye nguvu,asante kwa ajili ya neema hii,tunajikabidhi mikononi mwako,mbariki kila mmoja mahali hapa sawasawa na hitaji la moyo wake,tufundishe njia zako Bwana,tuongoze katika yote tunayoenda kufanya siku ya leo yawe kwa ajili ya sifa na utukufu wa jina lako takatifu, katika jina kuu takatifu lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo naomba na kushukuru Amen![]()
Amen mama mchungajiHappy Birthday to your son(,better late than never )Mungu ampe maisha marefu awe na hekima na atende yanayompendeza Mungu mbarikiwe sana.
NUKUU YA LEO
I have always fought for concrete facts, for justice
Mara zote nimekuwa nikipigania ukweli na haki
![]()
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanamapinduzi, mwanasheria na Rais wa 17 wa Jamhuri ya Cuba Bw. Fidel Alejandro Castro Ruz alizaliwa 13/08/1926 na kufariki dunia nchini Cuba 25/11/2016 akiwa na miaka 90. Na kuzikwa katika makaburi ya Santa ifigenia santiago de cuba.
Fidel atakumbukwa kwa kuwa mwanamapinduzi na muumini wa siasa za kijamaa. Fidel Castro alipigwa sana na mataifa ya kipebari ikiwemo marekani na washirika wake wa magharibi.
Fidel castro atakumbukwa kwa kuepuka majaribiao ya kumuuwa zaidi ya 600 yaliyopangwa na vyombo vya usalama vya marekani.
Leo ni tarehe ambayo ulinanza uvamizi wa Bay of pigs Invasion na ukadumu kwa siku 3. Ilikuwa vita ya kumpindua fidel castro iliyoratibiwa na CIA kipindi cha rais Dwight D. Eisenhower na kutekelezwa mwaka 1961 chini ya Rais John F. Kennedy
Marekani walitumia zaidi ya Us dollar 13.1 million kuaanda uvamizi huo ulifanyika kwa siku 3 na mwisho majeshi ya Cuba yakashinda.
Nirudi kwenye Nukuu.
Fidel castro alikuwa na msimamo, alitekeleza kile anachokiamini ni sahihi kwa watu wa Cuba . Misingi aliyoweka hai zamani ndio siri ya mafanikio ya nchi ya Cuba leo hii..
Leo Cuba wanatoa Elimu nzuri na huduma nzuri za afya zaidi ya nchi zingine za marekani ya kusini. Wana vyombo vya usalama vizuri . Hayo ndio matunda ya ukweli na haki aliyopigania Fidel Alejandro Castro Ruz.
![]()
![]()
Descanse en paz Fidel Castro

Kiasi chake tu nina majonzi mkuuMorning
Naona bossy karudi unafurahii
Maumivu yapi mkuuUmesahau kuongezea na maumivu
Morning mkuu..Asante mkuu kwa lishe ya ubongo
Tulikumis sana kiongozii ila vizuri kama umetukumbuka ukiwa salama ...welcome again
Yapii tena ??Kiasi chake tu nina majonzi mkuu
Tarehe 16-4-2013
Kufungwaa Mimi ila uzurii nilijua mapema nikala mapemaaMaumivu yapi mkuu
Nyagei anafurahi jana tummpiga mtu..pale OTMorning
Naona bossy karudi unafurahii
Prove this...?Lkn Cuba Bado wanaishi km wapo kwenye harakati za uhuru
Nyagei anafurahi jana tummpiga mtu..pale OT
yameishaishaaa bhanaaaah
Pamojaa kiongoziiMorning mkuu..
Morning fam..
Huyu jamaa alikuwa kichwa balaa...huyu ndio mtu aliyeweza kuvuka vikwazo vya US tuu...![]()
Namkubali huyu babu mvuta fegi kubwakubwa
Alikuwa kauzu kwa Wamarekani km dogo mapanki wa Korea...ikumbukwe aliingia madarakani baada ya kushirikiana na makamanda kibao akina Confugesse(avatar ya Mussolini) kumuondoa Rais aliyekuwa ni kibaraka wa USA
Yalijulikana km September Revolution
....
Happy Birthday to You too mkuu Nyagei sikujua ni yako pia Mungu akupe maisha mrefu,hekima na mafanikio ubarikiweAmen mama mchungaji