Makapuku Forum

1969 - Sirhan Sirhan anatiwa hatiani kwa kumuua Robert F. Kennedy, mdogo wa Rais wa zamani wa Marekani John F. Kennedy.

Raia huyo wa Palestina anatumikia kifungo cha Maisha kwa kosa hilo.

Robert F. Kennedy aliuwawa huko Los Angeles alipokuwa katika kampeni za Urais.

Kufuatia kifo hiko, idara ya ulinzi kwa viongozi nchini Marekani( Secret Service ) ikaamua kuweka ulinzi kwa wagombea wa nafasi ya Urais kila uchaguzi mkuu unapofika.
 
Ameen mama mchuchu ubarikiwe na ww pia
 
tulikumiss jamaan hawajakuteka tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…