Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hilo la wagonjwa limenigusa kweli, ingawa wanahitaji kufarijiwa lakini wapatiwe matibabu thabiti. Hakika hiyo ndo itakuwa faraja yao ya milele...Wakuu kumekuchaa salama...
![]()
Mornie all
Hilo la wagonjwa limenigusa kweli, ingawa wanahitaji kufarijiwa lakini wapatiwe matibabu thabiti. Hakika hiyo ndo itakuwa faraja yao ya milele...Wakuu kumekuchaa salama...
![]()
Mwakyembe asituzingue, anataka kujisafisha kiaina
Morning shemela ...Hilo la wagonjwa limenigusa kweli, ingawa wanahitaji kufarijiwa lakini wapatiwe matibabu thabiti. Hakika hiyo ndo itakuwa faraja yao ya milele...
Mornie all
Asante Lee kwa magazeti..Tuwe na Siku njema wakuu
Morning too shemMorning shemela ...
Ni kweli wagonjwa walichofanya ni haki yao ...utawapaje chakula wakati hawana dawa..
Asante na wewe kuyapitiaaAsante Lee kwa magazeti..
Habari ni utekaji tuuu!!!!!
Kwenye michezo wala sisemi

Njema mkuu umeamkejeMorning wakuu
Acha maneno yako bhasiAsante na wewe kuyapitiaa
michezo yanga wamekosa usafiriii![]()
![]()
![]()
Mndali ShkamoNjema mkuu umeamkeje
Kwema kiongozii ?Njema mkuu umeamkeje
Ila yanga bwanaa ...ebu tuyaacheAcha maneno yako bhasi
Mi nimeamka salama mkuu japo kuna taarifa nimezipta usiku kuwa kwaya ya kijito nyama ya dar imevamiwa hotelini ilipo kuwa imefikiaMndali Shkamo
Na yeye anatafuta kikiMwakyembe asituzingue, anataka kujisafisha kiaina
Huku kwema mkuu huko je ?Kwema kiongozii ?

Mwakani mtaenda Simba, naamini mtarudi na kombe...Ila yanga bwanaa ...ebu tuyaache
Msalimie Mr TMwakani mtaenda Simba, naamini mtarudi na kombe...
Ujue nifuata magazeti tuuu, Ngoja nikapike chai....
JamaniiiiMi nimeamka salama mkuu japo kuna taarifa nimezipta usiku kuwa kwaya ya kijito nyama ya dar imevamiwa hotelini ilipo kuwa imefikia
Amen nawe pia ubarikiwe LeeTuwe na Siku njema wakuu
Akwendwee huko, awaambie wamteke naona anatamani kutolewa marindaNa yeye anatafuta kiki