Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mi wala siwezi kuwaza maana najua wadau wako huru kuzungumza chochoteni utani wa humu kapuku full utani wala usiwaze
Mi wala siwezi kuwaza maana najua wadau wako huru kuzungumza chochoteni utani wa humu kapuku full utani wala usiwaze
Unamaanisha hajapata wa kumkumbatia?ulale salama na ww ukumbatie mto wako na baridi hili
Kaoge maji ya bahari shemu ni hayo tu usiku mwema muhold tight boss wanguhahahha mbona mm pia nimelike kaka yangu hajanishukuru
hana ndio mana anatafutaUnamaanisha hajapata wa kumkumbatia?
hahahh nitoe gunduKaoge maji ya bahari shemu ni hayo tu usiku mwema muhold tight boss wangu
Duuh pole yake maana kutafuta kitu ambacho hujui utakipata lini na hujajua kitakuwa salama kiasi gani msaidieni kumtafutiahana ndio mana anatafuta
me siwezi Mungu ndio atamsaidia kumpa mtu sahihi wa kufanana naeDuuh pole yake maana kutafuta kitu ambacho hujui utakipata lini na hujajua kitakuwa salama kiasi gani msaidieni kumtafutia
Amen hapa umenena ukweli ajikabidhi kwa mungu kisha akabidhi hitaji lake naamini atajibiwame siwezi Mungu ndio atamsaidia kumpa mtu sahihi wa kufanana nae
Tupo soteDuuuh mm bado nipo kwenye roli La mzee baba magu
Mweka hazina mstaafu huyoUnasema hivyo wewe kama nani? Au ndio unajiona unajua zaidi humu ndani?
Dhumuni la picha ni nini hasa
Msabiki => MshabikiAsante ila sina uhakika wa kuwa msabiki
Expect us

Nafikiri aliona mmefuatana sana kwa like hivyo akajisikia kukushukuruni hakuna cha ziada, ni nyie tu mnataka kukuza mamboEti tume like hadi amependa akati sikuzingine huwa ashukuru
Alafu kwanini atushukuru wawili tu inamaana wengine posti zake wanaskip?
Na kwako piaUsiku mwemeni jamani mlale salama nawapendaga bure
Ulale salama shemUsiku mwema wana familia