Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
nimeacha dadaSa mnashadadia nini labda
nimeacha dadaSa mnashadadia nini labda
Akwendwee hukoacha tu nimemuonea huruma masikini
UnalooooAya napambana shemu but napata zero distance kila mda
nimechoka
Yaani timu zetu zina matatizo makubwa japo wenye nazo wanaishi kwa kujifariji na wakirudi utasikia visingizioHahah.. naona Yanga huko uarabuni wameliamsha Dude(in gwajima's voice)..![]()
Uachage kabisaanimeacha dada
hahahhaAkwendwee huko
Vipi ile kamati ya masaa 72 haiwezi kuwasaidia?Yaani timu zetu zina matatizo makubwa japo wenye nazo wanaishi kwa kujifariji na wakirudi utasikia visingizio
Nakujaeb njo pm kwanza aisee
tatizo anakata tamaa mapemaUnaloooo
Mwanaume huwa akiri kuchoka
huwezi jua badae unaweza badili mawazoAsante ila sina uhakika wa kuwa msabiki
sawa ingia pm basUachage kabisaa
Mkuu mpira wa Tanzania umeingiliwa na kirusi ambachao ni kikubwa sanaVipi ile kamati ya masaa 72 haiwezi kuwasaidia?
Sawa mkuu ikitokea nitakuwa simbahuwezi jua badae unaweza badili mawazo
Nimekuja ukaniacha hukosawa ingia pm bas
Namshangaatatizo anakata tamaa mapema
nipo nimekujibu aisee haya mambo yanasikitisha sana ujue daahNimekuja ukaniacha huko
karibu sana mndaliSawa mkuu ikitokea nitakuwa simba