Goodmorning heri ya Pasaka,ubarikiweGoodmorning family.....Heri ya Pasaka kwenu nyote
karibu sana bhinamu obe Leo mpunga utapikwa haswaAsante mjomba lee empire ,kwa magazeti
Pasaka njema Makapuku
Na wewe pia mkuuGoodmorning family.....Heri ya Pasaka kwenu nyote
Neno "KAPUKU" Kwa ninavyojua mimi ni mtu HOHEHAHE, MJINGA, ASIYEJUA LOLOTE, ANAKWENDA HUKU ANAANGALI KULE" Je ndivyo unavyomaanisha au unayo maana yako nyingine? Kama unamaanisha hili nililoandika basi hututendei haki wenzako.Wakuu na wapendwa Makapuku heri ya sikukuu ya pasaka,Mungu awabariki sana Amen