Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Alitania bhanaEti tume like hadi amependa akati sikuzingine huwa ashukuru
Alafu kwanini atushukuru wawili tu inamaana wengine posti zake wanaskip?
Alitania bhanaEti tume like hadi amependa akati sikuzingine huwa ashukuru
Alafu kwanini atushukuru wawili tu inamaana wengine posti zake wanaskip?
Haya shemu usiku mwemaAlitania bhana
Tufanye hivyo mkuu maana majibu ya uhakika anayo yeyeBasi tupige chini tu
HakikaTufanye hivyo mkuu maana majibu ya uhakika anayo yeye
Na wewe pia shemuHaya shemu usiku mwema
Sawa mkuuHakika
Nawe pia mkuuUsiku mwemeni jamani mlale salama nawapendaga bure
Huku utani ni mwingi saana, na yeye katania kuchangamsha jukwaaTufanye hivyo mkuu maana majibu ya uhakika anayo yeye
Kweli mkuu mi nilichukulia kawaida ila nimeona mjadala unaendeleaHuku utani ni mwingi saana, na yeye katania kuchangamsha jukwaa
Nawe pia mkuu tuombe uzima kesho tukijaaliwaUsiku mwema wana familia
Kweli hapa ndio nakumbuka maneno yako aiseeWe acha tuu
Si unakumbuka nilikuambiaga lakini
hahahhah nyie watu jamaanFafanua we umegundua nini
hahahha mbona mm pia nimelike kaka yangu hajanishukuruEti tume like hadi amependa akati sikuzingine huwa ashukuru
Alafu kwanini atushukuru wawili tu inamaana wengine posti zake wanaskip?
Mkuu mi nimeshangaa mjadala mrefu tuhahahhah nyie watu jamaan
ulale salama na ww ukumbatie mto wako na baridi hiliUsiku mwemeni jamani mlale salama nawapendaga bure
kwahiyo ndio unalalaUsiku mwema wana familia
ni utani wa humu kapuku full utani wala usiwazeKweli mkuu mi nilichukulia kawaida ila nimeona mjadala unaendelea
Nimesema kuwa yeye ndo anajua kwanini ameshukuruhahahha mbona mm pia nimelike kaka yangu hajanishukuru