Na wewe pia mkuuPasaka njema humu
Mwigulu asishtuke, anapaswa kutafuta chanzo cha furaha ya hao Wananchi sio kushangazwa tu
Hao wagonjwa wanajitambua sana Ni kama ndugu zao wa mkoani Songwe
Nawe pia barikiwaHasubui njema familia
Merci PapaGoodmorning family.....Heri ya Pasaka kwenu nyote
Amen mkuu Obe nawe pia Pasaka njema UbarikiweAsante mjomba lee empire ,kwa magazeti
Pasaka njema Makapuku
AmenMkuu Nyagei asante kwa taarifa za michezo,heri ya Pasaka ubarikiwe
AmenWakuu na wapendwa Makapuku heri ya sikukuu ya pasaka,Mungu awabariki sana Amen
Na kwako pia mwanafamiliaHasubui njema familia
"UNAVYOJUA WEWE"Neno "KAPUKU" Kwa ninavyojua mimi ni mtu HOHEHAHE, MJINGA, ASIYEJUA LOLOTE, ANAKWENDA HUKU ANAANGALI KULE" Je ndivyo unavyomaanisha au unayo maana yako nyingine? Kama unamaanisha hili nililoandika basi hututendei haki wenzako.
Rudi post namba 5 utakuta maanaNeno "KAPUKU" Kwa ninavyojua mimi ni mtu HOHEHAHE, MJINGA, ASIYEJUA LOLOTE, ANAKWENDA HUKU ANAANGALI KULE" Je ndivyo unavyomaanisha au unayo maana yako nyingine? Kama unamaanisha hili nililoandika basi hututendei haki wenzako.
Ni watenda kazi wanaojipanga vizuri sanaUnbelievable facts
1.
![]()
Unbelievable
Hahahaha 17 cheating poor cheating man
If not exipired its ok