Makapuku Forum

Makapuku Forum

lete mkuu
Twende sawa mkuu ...

[emoji117] Tukianza na mechi ya mapema kiukweli spurs naona anashinda tena magoli zaidi ya mawil ...Bournemouth nahisi hana presha kiburi cha point 7 kinamsumbua kutoshuka


[emoji117] west brom na liver kiukweli naiona droo tena sio ya mabao mengi k abisaaa

[emoji117] kule kwa Middlesbrough na arsenoo mpe asernal make lazima wachezaji wafanye kitu presha hiko juu tena anaweza kushinda kwa bao kuanzia 3 ...japo lazima aruhusu japo ata moja

[emoji117] crystal palace nawacheki kwa jicho la tatu mkuu hawarembi siku hizi na the fox lazima wakipate ....Leicester kuchapwa mabao kama mawili itakuwa kawaida Leo ....muuue fox mkuu

[emoji117] Sunderland na west Ham sioni kipya zaidi ya moyez Leo kupata point tatu ..ata moja itamtoshaaa...

[emoji117] stock na hully city ...usifanye kosa lazima stok Leo apate kitu muhindi asikudanganye mpe stock tena 2-1

[emoji117] Everton Everton burnly kama kawaida lukaku na wenzake lazima washinde mbili na kuendelea sio have

[emoji117] Watford na Swansea sioni kipya Leo ...droo ata moja mojaa

[emoji117] man city usimsahau mkuuu atapata hushindi ata kama mfinyuuuu ila 2 zitafika

[emoji125] [emoji125] huyu wa mwisho ebu jifanye umemsahau man u vs Chelsea ...apa ngoma itakuwa ngumu make jossee kukubari kupigwa nje ndani so kizembe ...na Chelsea anaitafuta michezo 5 apigiwe makofi ...


Anyway changanya na yako
 
Back
Top Bottom